NAOMBA NAFASI YA KAZI TECHNICIAN CIVIL ENGINEERING

NAOMBA NAFASI YA KAZI TECHNICIAN CIVIL ENGINEERING

Civil engineer 23

New Member
Joined
Mar 15, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Habarini,

Mimi ni Kijana (ME) wa kitanzania muhitimu wa kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering mwaka huu

Nikiwa na uzoefu na kazi za Highway, Structural na Water Engineering niliopata muda wa mafunzo kwa vitendo hivo basi niko apa kuwaomba wenye nafasi ya kazi kama Technician wa Civil Engineering

Naahidi kujituma, Uaminifu, Na kufanya kazi kwa juhudi CV yangu na Vyeti vingine ninavyo vya uthibitisho. Naomba kuwasilisha kwa wana Jamii Forum wamiliki wa makampuni , Engineers na Wataalamu wa Ujenzi.

Asanteni
 
Unaweza kuezeka?
Nina kibanda changu kinahitaji kuezekwa.
IMG-20260927-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom