Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

D0BFA894-F0D5-4452-99B4-C7E27EB3B452.jpeg
 
Anatafutwa mwalimu wa nursery mbande mshahara laki na nusu anatakiwa awe anakaa maeneo ya karibu 0759424753

BEZO JR unaona mambo hayo?
Sahihi mkuu..na unakuta hata kulipwa hiyo laki na nusu anaweza kukaa miezi minne bila kulipwa..lakini hakuna anaye wasemea...na wanaendelea na kazi.
 
🥰 Wanahtajika Matron (2)📌 wenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka 3,,📍 wenye maadili, nidhamu, usafi wa hali ya juu, wawe tayari kuishi bweni na wanafunzi, ✅shule ipo Meru, kwa walio Arusha watapewa kipaumbele,
madam seran kwema? mawasaliano ya mtu wa karibu wa shule hiyo ili niweze kufika mimi nipo arusha
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

WALIMU WA HOME TUITION KIMARA MWISHO

1.MWALIMU MMOJA AWE WA SCIENCE AND MATH. UPPER PRIMARY

2.MWALIMU MWINGINE AWE WA GEOGRAPHY NA HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI GRADE5.

LOCATION: KIMARA MWISHO -DSM

KAZI INAANZA KESHO SAANNE KAMILI.ASUBH

MAWASILIANO WHATSAP SMS: 0659169709
 
🖨️SECRETARY🖨️ SECRETARY 📎TUNAITAJI 🧩SECRETARY 🧩MZOEFU AMBAYE🧩 AMESOMEA NA MWENYE✅ EXPERIENCE YA KAZI , KUFANYA KAZI SHULE YA ENGLISH MEDIUM📍 LOCATION 📌KIMARA DAR ES SALAAM 💰💵MSHAHARA MAELEWANO CALL📞 0749234577
 
📢TUNAHITAJI✍️ MWALIMU📚 WA KUFUNDISHA📖 CLASS ONE🧩 AWE NA EXPERIENCE 💰MSHAHARA MAELEWANO 📍LOCATION🔅 CHANIKA CALL 🤙 0749234577
 
👑 MWALIMU👑 WA 🧩ENGLISH , 🧩MATHEMATICS , 🧩SAYANSI, ✍️AWE MMOJA 2 KWA MASOMO YOTE. LOCATION 🎯CHAMANZI♟️ MBAGALA
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TUNAHITAJI
MWALIMU WA HOME TUITION MIDDLE CLASS KWAAJIRI YA KUFUNDISHA HOME TUITION SIKUTANO ZAKILA ZA KILA WIKI.

LOCATION: PUGU -KONA YA KWA MIZENGO PINDA

, HII NI TUITION HIVYO NI VYEMA KUZINGATIA UKARIBU KUEPUKA GHARAMA ZA USAFIRI.

KAZI INAANZA KESHO SAANNE KAMILI.ASUBH

MAWASILIANO WHATSAP SMS: 0659169709
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TUNAHITAJI
WALIMU WA HOME TUITION KAMA IFUATAVYO,

1.MMOJA WA MATHEMATICS O'LEVEL.

2.MMOJA TU WA HISTORY NA LITERATURE O'LEVEL

LOCATION: PUGU- SECONDARY

KAZI INAANZA KESHO SAANANE KAMILI MCHANA.

MAWASILIANO WHATSAP SMS: 0659169709
 
Magomeni (kwenda na kurudi)
Familia ya watu wazima 2
Nyumba ni gorofa ila Yeye Anakaa fro ya chini
Mdada Muislamu 24-25
Ajue kazi vizuri na Asiwe wa kufundishwa kazi kabisa
Mshahara wake 180k

Sinza (kwenda na kurudi)
Dada wa usafi Ofisini na nyumba
Dada mchapakazi MWAMINIFU
Dini yoyote
Elimu From 4
Mshahara 150k
 
Natafta dada wa kazi
Mwenye uzoefu wa kulea watoto na kazi za nyumbani

awe….Msafi,msikivu,mkweli,mwepesi kujifunza,mwenye upendo kwa watoto etc..

Umri:- miaka 20 kuendelea
Dini:- mkristo

Mshahara:-120,000
Eneo la kazi:-Mikocheni ,dar es salama
Mengineyo tutaongea kwa kirefu kwa namba hiyo👇🏿
:-0767861985
 
WE ARE HIRING – YCONA LUXURY RESORT

Ycona Luxury Resort is looking for passionate and experienced hospitality professionals to join our team and deliver exceptional guest experiences.

Open Positions:

  • Waiters / Waitresses
  • Bartenders
  • Housekeepers
  • Public Area Attendants

Requirements:

  • Previous experience in a 5-star hotel or luxury resort is essential.
  • Excellent customer service and communication skills.
  • Professional appearance and positive attitude.
  • Ability to work in a fast-paced, team-oriented environment.
  • Good command of English; additional languages will be considered an advantage.
  • Strong knowledge of luxury hospitality standards and attention to detail.
  • For bartenders, experience in cocktail preparation and bar operations is required.

If you have a passion for luxury hospitality and are committed to delivering outstanding service, we would love to hear from you.

To apply, please send your CV to:
ops@yconaluxuryresort.com
or deliver it directly to the Human Resources Office at Ycona Luxury Resort.
 
Magomeni (kwenda na kurudi)
Familia ya watu wazima 2
Nyumba ni gorofa ila Yeye Anakaa fro ya chini
Mdada Muislamu 24-25
Ajue kazi vizuri na Asiwe wa kufundishwa kazi kabisa
Mshahara wake 180k

Sinza (kwenda na kurudi)
Dada wa usafi Ofisini na nyumba
Dada mchapakazi MWAMINIFU
Dini yoyote
Elimu From 4
Mshahara 150k
 
Back
Top Bottom