Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Wakuu naombeni KAZI yoyote
Nina shahada ya maendeleo ya jamii
Nafanya KAZI yoyote
Nipo dar
Nisaidieni mwanaume mwenzenu naumbukaa
Allah akitilie wepesi katika njia zako za kuitafuta kazi ,Insh'Allah ila pia mleta uzi ni mwanamke naye pia mpe maneno magumu kama ulitupa sisi kuwa unaumbuka kaka

Unawezq kusema hivi ,naomba unisaidie dada nateseka mtoto wa mwanamke mwenzio ,ni hapo unakuta kumbe ana kazi anakujiri chap rafiki .

Kuna nafasi za JKT zimetoka ukiona huelewi jitunishe huko alafu kudra na kadari utakutanq nazo njiani .

Pole sana mwanangu
 
Wakuu naombeni KAZI yoyote
Nina shahada ya maendeleo ya jamii
Nafanya KAZI yoyote
Nipo dar
Nisaidieni mwanaume mwenzenu naumbukaa
Hii tabia ya kujilizaliza itakuletea matokeo mabaya sana! Mi ni mwanamke kuna muda nakosa kabisa kazi na sina hata mia lakini ukiniona huwezi kuamini, nakaza nakomaa mpaka kieleweke! Sasa wewe kujitilisha huruma kila nyuzi unajidhalilisha na unaacha rekodi mbaya sana sikufichi ipo siku utatamani ukae chini uanze kufuta post zako zote! Kukaa nyuma ya Id saingine kuna reflect mtu alivyo!

Na hakuna boss anayetaka mfanyakazi mnyonge! Unashindwa kuchukua muda wako ukapitia uzi mzima kuangalia kazi zipo nyingi humu unaishia kulialia tu mdogo wangu!
 
Dah ila wewe🙌
 
Huyu kijana anajitilisha huruma sana utafkiri jua linamuwakia yeye pekeyake! Sipendi mwanaume mdhaifu sikufichi!

Akiongea hivi siwezi kumsaidia mkuu!

Kuna kazi mpaka za mashamba serikali imetoa watu wanaomba na wanakosa mpaka ela ya bando yeye ni kulialia tu!

Huu mwezi mtukufu unakufanya uonee kila mtu huruma! Sio sahihi..
Imebidi nijioneshe huruma dada maana ukimchana makavu hawakii kuja kinipopoa mwisho nidondoke na hii swaumu yangu.

Ila inabidi akaze ,oya Mr Beach Boy unaicheki mikazo ya sisiteri embu kaza sasa ,pitia kurasa chap tuone kama unatoka mzazi
 
Hii tabia ya kujilizaliza itakuletea matokeo mabaya sana! Mi ni mwanamke kuna muda nakosa kabisa kazi na sina hata mia lakini ukiniona huwezi kuamini, nakaza nakomaa mpaka kieleweke! Sasa wewe kujitilisha huruma kila nyuzi unajidhalilisha na unaacha rekodi mbaya sana sikufichi ipo siku utatamani ukae chini uanze kufuta post zako zote! Kukaa nyuma ya Id saingine kuna reflect mtu alivyo!

Na hakuna boss anayetaka mfanyakazi mnyonge! Unashindwa kuchukua muda wako ukapitia uzi mzima kuangalia kazi zipo nyingi humu unaishia kulialia tu mdogo wangu!
Sawa nimekuelewa mkuu ila kosa langu ni Nini? Yani kosa langu ni kusema ukweli kwamba sina KAZI?
Alafu unasema wewe ni mwanamke kuna muda unakosa kazi unakomaaa mpaka kieleweke em tuambiane unakomaa vipi ndugu yangu?

Kwamba huombi KAZI?
Em niambie kosa langu ni kusema naomba kazi hali yangu ngumu?
 
Muache ukweli tumwambie! Huu ni utoto! Mwingine kutwa kuanzisha nyuzi za kuomba elfu 5 ukilike anaku-pm🙌🏾
Dah madude ya hivyo uwa siyajibu ,moja lilikuwa lina manyuzi ya magari yake mara mambo kibao ya kifahari siku linanicheki nilipe buku teni eti alikula usiku ,nilifunguka siku ile mpaka likafunga PM litoto lile
 
Omba kazi bila kulialia

Nawe kapanue kinyeo kama ni rahisi hivyo

Hahaa mpk hapo akili yako unaona ilivyo ya kipumbavu!

We kumjua mtu unahisi ni aje? Kuwa positive minded ukaribishe vitu positive kwenye maisha yako! Utakuwa unahisi kulogwa very soon kwa akili hiyo!

Sawa kaanzishe uzi mwingine wa kilio kule mbalii 🚮
Hahhaha huna kazi huna Hela alafu unaishi fresh tena jinsia ya kike maaanaa yake hapo UNAJIUZA sister badilika fangasi na PID itakumaliza
 
Uyo demu anazingua analeta pigo za kike kwa vijana watafutaji.
Yeye ameolewa anahudumiwa hajui uchungu wa kukosa kazi

Alafu ety ana reacts kunaona nikiomba wana kazi anataka nikaushe nisiombe KAZI

Sasa ntakula mavi mkuu
Kwanza siko upande wowote, pili wote ni I'd feki so hatujui yupi me au ke halisi!

Naomba muwe na busara wote, futeni matusi yenu kwa heshima ya watafutaji wote walio katika uzi huu.

Mwisho nyinyi wote ni ma jobless kweli?, hii nguvu ya kutukanana mna itoa wapi ikiwa mna njaa??
 
Kwa heshima yako raisi wetu ntafanya ivo💪
 
Huyo fala anajiliza kila uzi kama anatafuta bahasha! Namshauri aache kujiliza mara moja akiwa anatafuta kazi hakuna boss/tajiri anataka mfanyakazi mnyonge mnyonge anaanza kujiharishia humu sijui kisa dada zake hawana bikra wanajiuza ili waishi😆
samahani kama nita wakwaza, ila naomba mjikite kwenye lengo la uzi na muache matusi.

Dada zake, zako, au wewe, yeye mwenyewe hamstahili kudhalilishana ili kutafuta ushindi usio na maana kwa hadhira feki.
 
Back
Top Bottom