Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

VACANCY: ASSISTANT FINANCE AND ADMIN OFFICER
[PAID INTERNSHIP]

HOSPITALITY PARTNER LIMITED, a company with offices at ILALA BOMA Dar es salaam has an employment vacancy for Assistant Finance and Admin Officer.

Key attributes
🗝️ Degree in B.com, Finance ,BBA or any other related field
🗝️ Experience in filling TRA monthly and annual returns (This is a MUST)
🗝️ Very good command in both written and spoken English.

APPLICATION
Send Cv and Academic Certificates on whatsap 0653234010.

Deadline: 25/01/2026
 
TANGAZO LA KAZI

Hyper House Bar inatafuta wahuduma warembo na counter mmoja mwenye uzoefu wa kutosha!

Nafasi zilizopo:
1. Wahuduma (Waiters/Waitresses) - Wenye muonekano mzuri na uwezo wa kuwasiliana na wateja
2. Counter (Bartender) - Mwenye uzoefu wa anga za ushonaji na utengenezaji wa vinywaji, mrembo/mzuri

Vigezo:
  • Umri: 20-27
  • Muonekano mzuri na tabia njema
  • Uwezo wa kuwasiliana na wateja
  • Uzoefu wa anga za ushonaji (kwa counter)
  • Uwezo wa kufanya kazi kwa shinikizo

Maombi:
Kama una vigezo hapo juu, tumia namba 0684998101 kutuma picha 4 zako (paspo, full body, na picha nyingine 2 za hivi karibuni). USIPIGE SIMU, TUMA MESSEJI TU.

Hyper House Bar - Mahali pa burudani na raha! 🎤
 
Habari Mkuu
Natafuta watu wawili wa HSE officer katika department ya Logistics
Ofisi iko Buza -Nyuma ya Stendi Mpya
Experience angalau 2-3 yrs

CV -0688638298
deadline 22/01/2025
 
mkuu ulinzi nimeona moja tu na wameshapata watu ikipatikana nyingine usisahau kutuma
 
Natafuta mfanyakazi (ADO)wa duka la dawa muhimu lililopo shule ya Atlas Madale
Awe anatokea maeneo karibu na hapo au tegeta
Mshahara 150,000/= kwa mwezi na 2,000/= ya chakula kila siku
Ajira_na_biashara
+255 676 457 207
 
375AD60B-C169-4F9B-9BC0-E4700A22AFB9.jpeg
 
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA SALES AND MARKETING

MAHALI📍ARUSHA

📌Kampuni ya KILIMO NA MIFUGO
INAHITAJI
mtu wa SALES AND MARKETING mwenye
📌Uzoefu wa miaka miwili [2]
📌Ujuzi wa kuendesha gari
📌Mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi [FLEXIBLE]

VIGEZO VYA MUOMBAJI:
📌umri kati ya *miaka 20 hadi 35
📌- Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano

📌Jinsi ya kutuma maombi:*
Tuma CV yako kupitia WhatsApp namba 0755 870 134. Tafadhali usipige simu.
Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 31/1/2026
 
Back
Top Bottom