😂😂Sawa, kwahiyo unataka tu za ulinzi? Yani ule ulinzi wa kusimama getini?
Oohh ushamba huu😅😅 nimejiuliza mara mbili mbili kidogo namie niombe nikajua kuna deal mpya🙆🏽♀️ Why sasa uliacha aisee.. unipe title yake nikiona nakushtua..😂😂
hapana mkuu ni ule wa hotelin, casino na sehemu nyingine zilizochangamka nilishawahi kufanya pale serena hotel zina hela sana nje ya mshahara
security manager wa pale alikua mnoko sana aisee ukienda kinyume na maagizo yake umeshakua adui kwakeOohh ushamba huu😅😅 nimejiuliza mara mbili mbili kidogo namie niombe nikajua kuna deal mpya🙆🏽♀️ Why sasa uliacha aisee.. unipe title yake nikiona nakushtua..
kama hii hapaOohh ushamba huu😅😅 nimejiuliza mara mbili mbili kidogo namie niombe nikajua kuna deal mpya🙆🏽♀️ Why sasa uliacha aisee.. unipe title yake nikiona nakushtua..
Security manager omba Melia Zanzibarsecurity manager wa pale alikua mnoko sana aisee ukienda kinyume na maagizo yake umeshakua adui kwake
Mkuu kama zipo post za ulinzi zanzibar nk tunaomba mkuu,Security manager omba Melia Zanzibar
Anhaa sawa nimekuelewa🤭kama hii hapa View attachment 3533480
Mm sitoi konekshen siku hizi. Omba kaz kampuni moja inaitwq chaka force hapo dar au zanzibar. Kwa zanzihar pia omba 2 tech securityMkuu kama zipo post za ulinzi zanzibar nk tunaomba mkuu,
Mkuu kwanini hutoi connection usifanye ivo fanya kwa moyo mmoja mtu mmoja asifanye vijana tufe kwa njaaa em funguka kakaMm sitoi konekshen siku hizi. Omba kaz kampuni moja inaitwq chaka force hapo dar au zanzibar. Kwa zanzihar pia omba 2 tech security
Omba mzee direction hiyo hapo nimekupa. Ukisubir ubebwe utachelewa sana mzee konekshen natoa na hela siku hiziMkuu kwanini hutoi connection usifanye ivo fanya kwa moyo mmoja mtu mmoja asifanye vijana tufe kwa njaaa em funguka kaka
Sawa mimi ntakupa Hela kaka niambie nikufate DM au hapa hapa unajua kwann nakuforce kwasababu najua KAZI na connection zako ni uhakika kaka nielekeze nikulipe sawa ty,Omba mzee direction hiyo hapo nimekupa. Ukisubir ubebwe utachelewa sana mzee konekshen natoa na hela siku hizi
kila la heriSawa mimi ntakupa Hela kaka niambie nikufate DM au hapa hapa unajua kwann nakuforce kwasababu najua KAZI na connection zako ni uhakika kaka nielekeze nikulipe sawa ty,
DMSawa mimi ntakupa Hela kaka niambie nikufate DM au hapa hapa unajua kwann nakuforce kwasababu najua KAZI na connection zako ni uhakika kaka nielekeze nikulipe sawa ty,