Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dogo apige kitabu tu once employed ataona faida yake asibwete na gwanda kuna kustaafu tena NCO miaka michache tu
 
Jamani kama ni mjadala em tulete mijadala ya kujadilika sio kuanza kutukana vyeo humu mara Coprol mara Bibi na bwana aisee Hiyo mbaya Toa Point km ni ya uongo tunaku crash unakaa pemben..pia ni elimu
 
Mdg angu nimepita makutupora mujibu mwaka 2015 nikaenda chuo nikamaliza 2018 Nikaingia jeshini Tena 2019 Op makao huko nikapiganisha bogi chamwino ndio liloonitoa so unaposema nitaishia coplo ucdhani me 4m 4 dg
Safi kaka...
 
nimetoa boko lipi sas ndugu yang mbona mapovuu mengi..
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
 
Hapana ila kn sehem nilisoma nkakuta mara utafia na Ucoprol mara bib na bwana..sas kwan Bib na bwana sio cheo? Km sio mbn Major ana kibeba
Ofcourse hujanielewa na ndo tafsiri general kitaa kwa sie layman ukisema ngao kuna mtu haelewi ngao ni nini mkuu. So ni hivyo tunaelewa mojor ni Senior officer na WII vile vile ni mtu wa nidhamu hakuna siri na isitoshe vijana wetu na sie babu zao tulipita pita migambo na vyeo vya ruteni koplo yaani "V" moja so idea ipo
 
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe promoted kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
 
Mwanzo wakati mnabishana nilikuwa nakereka.... Ila sasa nacheka tuu!!!

Naona wote mnajimwambafy tuu.
 
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
Eeeeeh sawa sawa yan nafas zile zkitoka mtu km yupo kazn anawez kuzchukua akaend kujiendeleza kwa course ya A year and some na akirud anakula star
 
Huku sio kuchangamsha uzi...huku ni kutaka kila mtu ajulikane ni nan ... issue ilikuwa ya kujadili siku moja tu .lkn tunaelekea siku ya pili...
 
Hapa tunajaribu kuchangamsha uzi kwa kuwaelimisha ma dg hata wakienda huko kwny usaili wasiende kutoa boko at least wajue hata ABC vitu vidg vidg ka hivi
Nimekaa natazama unacho andika wee jamaa daaah!! Sizani kama kuna mtu anaweza kuamini wew upo kwenye kitengo mana hubishana kwa fact

Yani adi sisi mujibu tunakushinda duuh!!

Miii naomba uache kubishana chamsingi saiv ongea mada zingine ambazo zitakua sapoti kwa kila mtu umu ndani
 
Kwani bro me nipo Hapa kuaminisha watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom