Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mabio nadhan kote tu poti
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
 
uhamiaji naona shumbwela tu
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanzashumbwel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom