Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mi nawaza itakuwa labda polisi wamekataa barua kutuma posta

Kwa sababu labda barua wazichambue huko huko mikoani ndio ziende Dodoma maana sio kila aliyetuma maombi ataitwa

Au hawataki kwenda posta kukusanya barua bado warudi tena waanze kuzichambua hivyo hawataki usumbufu

Ila hatuwezi jua ila nimeshangaa tu huo utaratibu ni mzuri lakini miaka ijayo kwa majeshi mengine wafanye hivyo umewapunguzia gharama maana ingewatoka kama 30, 000 kwa wale wa ems kwa uhamiaji + polisi
 
m

mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyeti ndio kabisaa
 
m
Mi nawaza itakuwa labda polisi wamekataa barua kutuma posta

Kwa sababu labda barua wazichambue huko huko mikoani ndio ziende Dodoma maana sio kila aliyetuma maombi ataitwa

Au hawataki kwenda posta kukusanya barua bado warudi tena waanze kuzichambua hivyo hawataki usumbufu

Ila hatuwezi jua ila nimeshangaa tu huo utaratibu ni mzuri lakini miaka ijayo kwa majeshi mengine wafanye hivyo umewapunguzia gharama maana ingewatoka kama 30, 000 kwa wale wa ems kwa uhamiaji + polisi
mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyeti
Duuh aisee
kutafuta kazi ni kazi balaa cost kama zote
 
Mwaka uishe tu yani mtaani nimepachoka Sana,naona siku ya kwenda kozi nitakuwa wale wa kwanza kwanza
emoji28.png

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Tukutane Boma chap 😂😂😂nimebadili mawazo ya ccp
Mwaka uishe tu yani mtaani nimepachoka Sana,naona siku ya kwenda kozi nitakuwa wale wa kwanza kwanza
emoji28.png

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Mi nawaza itakuwa labda polisi wamekataa barua kutuma posta

Kwa sababu labda barua wazichambue huko huko mikoani ndio ziende Dodoma maana sio kila aliyetuma maombi ataitwa

Au hawataki kwenda posta kukusanya barua bado warudi tena waanze kuzichambua hivyo hawataki usumbufu

Ila hatuwezi jua ila nimeshangaa tu huo utaratibu ni mzuri lakini miaka ijayo kwa majeshi mengine wafanye hivyo umewapunguzia gharama maana ingewatoka kama 30, 000 kwa wale wa ems kwa uhamiaji + polisi
Usijali mkuu...nikiwa pale uhamiaji mwakani tutalisimamia hilo 😁
 
Kaka ulivyouliza hilo swali..una imani kubwa sana aise

itakua ana connection mkuu
Hamna ndugu zanguni me nmeuliza ivyo maana vigezo vyote najiona nimefit na naimani katika Mungu sema napenda sana TPDf shida inakuja njaa ya kitaani inafanya nijaribu kotekote.

Nachohofia chama la wana linaweza kutema nafasi nyingi nikajikuta nmeenda sehemu ambayo moyo hauna furaha.

MAISHA YETU MAGUMU NDO YANAFANYA TUFANYE MAAMUZI AMBAYO HATUYARIDHII.
 
Kama ni polisi hawajataka barua ya utambulisho

Kama ni uhamiaji utaandika utambulisho popote ulipo kama vyeti vyako unavyo hapo kwa nini usiandikie huko huko ulipo

Maana kama ni usaili ni Dodoma tu hata barua ikutambulishe unatoka wapi hamna usaili mkoani wala wilayani
Ubaya vyeti vyote vipo dar na sasahvi gharama ya kusafirisha ni 10k so nikijumlisha na magharama ya maombi na kilakitu naona napigika so kitoto.

AJIRA NGUMU SANA ACHA HIZI
 
mkuu ni mgeni wa kuomba ajira online. vyeti mtu ana viscan anakutumia kwa wasap,emails nk then ww utaprinti utume . mbona rahisi tu afsa ama kitaa kimekuchapa umesahau mpaka taratibu za kufata.
 
Hamna ndugu zanguni me nmeuliza ivyo maana vigezo vyote najiona nimefit na naimani katika Mungu sema napenda sana TPDf shida inakuja njaa ya kitaani inafanya nijaribu kotekote.

Nachohofia chama la wana linaweza kutema nafasi nyingi nikajikuta nmeenda sehemu ambayo moyo hauna furaha.

MAISHA YETU MAGUMU NDO YANAFANYA TUFANYE MAAMUZI AMBAYO HATUYARIDHII.
TPDF hawatoi nafasi mzee utasikia tuu watu wanaripoti kimyakimya kama upo mfatiliaji makambi ya jkt utaziskia,zinazo natangazwa ni zile special course tuu nazo skuiz hawatangazi wanachukua vyuoni na mujibu wa sheria,,kuna ronja ipo ila inahitaji uvumilivu kama sio mvumilivu polisi na uhamiaji zipo kwajili yetu
 
Nina dem yupo makutupora Dom yeye ndo ananijuza kuhusu Tpdf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom