Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

GOD Awe na sisi
Hawatapishana sana....process nzima hadi majina kutoka huwa inachukua kama miezi miwili hivi. Mwaka jana Polisi tangazo walitoa Sept kama sikosei watu wakaingia kambini mwishoni mwa october
mkuu uhamiaji huwa soon after deadline. polisi tutasubiria zaid ya miezi miwili hpoo
 
Daaah hivi kwa sisi ambao tupo vijijini kwenye vibarua nawaza nikipata barua ya mwenyekiti wa mtaa naotokea dar na kama nikimaliza kuandika niisafirishe dar ndo wanipelekee itakuwaje?
 
Poa ,vipi lakini hii ya Ems na njia ya kawaida ,uharaka au muda wa kufikisha mzigo kwenye destination inatofautiana siku ngapi ?
pricing determine value and efficiency- EMS mzigo wanapeleka mpaka ofisini kwa haraka. njia ya kawaida itawalazimu polisi ama uhamiaji mzigo wa ufate posta.
 
GOD Awe na sisi

mkuu uhamiaji huwa soon after deadline. polisi tutasubiria zaid ya miezi miwili hpoo
Mwaka jana uhamiaji deadline ilikuw mwishon mwa December pia...wakaita watu usaili dodoma mwezi wa pili tarehe mbili. Huwa ni takriban mwezi mmoja ndio huita watu interview. na mwishon mwa mwezi wa pili watu wakaanza kureport makambini. Natamani kujua nature ya mafunzo ya uhamiaji sijapata bado wa kunipa lonja.

uhamiaji post za january 1 mwaka huu deadline ya application ilikua trh 14, kuita usahili wakaita trh 28 january ambayo sawa na wki mbili mkuu
 
Daaah hivi kwa sisi ambao tupo vijijini kwenye vibarua nawaza nikipata barua ya mwenyekiti wa mtaa naotokea dar na kama nikimaliza kuandika niisafirishe dar ndo wanipelekee itakuwaje?
Kama ni polisi hawajataka barua ya utambulisho

Kama ni uhamiaji utaandika utambulisho popote ulipo kama vyeti vyako unavyo hapo kwa nini usiandikie huko huko ulipo

Maana kama ni usaili ni Dodoma tu hata barua ikutambulishe unatoka wapi hamna usaili mkoani wala wilayani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom