Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mwenzenu huyu..na hizo ndiyo uniform zenu wakati wote wa kozi.
Polish_20211016_233555444.jpg
 
Usikate tamaa.Ipo siku.
Mkuu we acha tu....ile niko six kuna mwana tulikuwa tunatanian kwa kuitana makoplo na tulikuwa tukitoka msuli dom lazima tuwapigie kelele za kuunga jeshi mapema tu.......sasa mwaka wetu ule ndo mambo ya military sayanc yalianza na walipita kambi za dodoma(makutopola), mara(RWANKOMA) na tabora(MSANGE) tu

sasa kambi yangu wala ya jamaa yangu hawakaupita so ikatupita kama ivo .......wadau walivyopigiwa simu kidume nikajipeleka ubungo pale lkn wap kumbe kuna majina daaah hafu ule mwaka wadau kibao walikacha maana walichagua watu wenye one na two wa kombi za sayanci so idadi ikawa ndgo nakumbuka walitakiwa watu 460+ hafu wakaenda 250 hv.....nikaenda hadi ngome kuomba lkin sikufanikiwa hapo stil niko chuo.....

Sema ningeenda pale nichukue jina la mtu ambaye namjua hakwenda ningekomaa nao tu.
 
Dah sisi pia kambi yetu hawakuchukuaga aisee,kuna mwanangu alikua kambi io ya mara (RWANKOMA) nlipiga nae class moja yeye alipelekwa URUSI kupiga military science dah kila mtu na zali lake aisee...tuombe mungu tu mkuu zamu yetu ipo njiani inakuja
 
Mzee ndo nikaamin katika maisha kuna bahati hawa jamaa kimtaani ukiwekwa na ww unaoneka shule ulikuwa kilaza kumbe zali walipitiwa kambi yao wakawa selected....na from there hata madogo tuliowaacha wa dom letu wa fomr five nao wakawa motivated(kuwafungua akili)madogo wawil sahv nao wapo chomboni.

Hafu mwaka wao walichukua divishen 3 tu za sayanc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom