Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu Usidanganye alaiki,sifa yakupata vyeo vya kiafisa vya polisi:elimu(kuanzia degree),nidhamu(usiwe na mashitaka)+utendaji kazi mzuri(weledi).


Note:Baada ya kutoka depo itampasa askari alitumikie jeshi kwa miaka kadhaa,baada ya hapo mkuu wa jeshi la polisi kulingana na ukubwa wa bajeti anaweza kupendezekeza wale wenye elimu ya juu wakapige kozi ya cheo fulani,hapa inatategemea na matakwa yake.Degree holders wanaweza wakapendekezwa kwenda sgt course au S/sgt au hata kozi ya afisa mkaguzi wa polisi(inspector).

Kwahio mkuu inamaana hata madaktar wakitoka depo wataenda lindo kwa miaka kadhaa..
 
Kwahio mkuu inamaana hata madaktar wakitoka depo wataenda lindo kwa miaka kadhaa..
Hahahahah, hofu yako nini? Askari afu hupendi lindo?

Watu wa afya ni chini ya kikosi cha afya, performing general duties labda emergency.

Tupeni lonja majanguu
 
Wasubirieni walioitwa leo watawapa habari maana siyo lonja tena sasa hivi ni taarifa kamili.
 
Nafasi za elimu kuanzia astashahada mpaka shahada hazizidi 200 na wameitwa zaidi ya 1000.Mchujo utakuwa mkali.
 
Kivipi mkuu
Vijana wapunguze hopes za kuitwa itasaidia Sana Kama akikosa lakini atakua disappointed Kama akiwa na hopes...mchuano ni mkali Sana according to mmoja wa wateuzi nilisikia Jana around tar 10s majina ya kidato Cha 4 na 6 yatatoka...subirini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom