jang
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,415
- 1,189
Direct watakuja mtaani au wataenda jkt, mwaka juz walichukua vyuoni direct sijui mwaka huu. Kama una taarifa mkuu nijuzeFanya mpango nasikia wa 4 zinatoka direct JWTZ (Hapa mpaka uwe na mawasiliano na mwanajeshi wa JW akupe utaratibu), na huwezi kurudi tena JKT mana utakuwa una'bust kozi.