chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Faculty? Duuh wasomi wa Tanzania mtu Inaweza Kusoma Faculty?
kwaiyo uyu c msomi...miujiza hiii....by de way tunasafari ndefu sana

Faculty? Duuh wasomi wa Tanzania mtu Inaweza Kusoma Faculty?
kwaiyo uyu c msomi...miujiza hiii....by de way tunasafari ndefu sana

No way out aende jakata akaenye almost 2yrs ila ina depend na kismat cha mtuuu akaenye na pitshort akitoka apo aenye tena na karanga ndo aje uku mzinga mbeli mzinga nyumauwe unafuatilia mtandaoni mara kwa mara utayajua hayo
....acha uongooooo auko kenye chombo unaongea ongea tuu uongo umu...Hawezi kwenda kozi ya jkt mara mbili.
ubaya wa hili jeshi ukitune akila yako unataka ajira unalitaka utateseka sana utolipata cha msingi kufungua moyo kunywa maji mengi tuu maisha magumu mtaani mwache aendee...mbona unataka kwenda kujitesa bure binti
mmmmmmh c kwel8 uyo alikuwa na matatizo tuu binafsi walitumia njia iyo kumtoa...Jamaa yangu tulipiga naye mujibu wa sheria tukamaliza ila yeye alipenda kurudi jkt akaomba nafasi za kujitolea akapata akapangiwa bulombora ile kufika wakakuta alishapita jkt wakamrudisha wakamwambia jkt haipigwi mara mbili
mmmmmmh c kwel8 uyo alikuwa na matatizo tuu binafsi walitumia njia iyo kumtoa...
Ndio mm ushahidi ninao kuna dogo ni private nw alienda mujibu 2013 alivyotoka apo akakosa nafasi chuo ikabidi aingie tena JKT kujitolea 2014 operation muungano na alikubaliwa frsh tuu uyo dogo nw ni private yuko kwnye harakati za kwenda cadet soon anauvaa uwafisa.....Kwa hiyo mkuu unataka sema aliyepitia mujibu wa sheria anaweza rudi jakata kama kawa ili aendelee na hatua zingine!!!!!!
vip mkuu nafasi za jkt hazijatoka au 2017Haaaa aisee laki saba parefu sana mkuu but nimesikia tetesi kuwa mwezi wa ta
Mkuu laki saba parefu sana aisee but nimesikia tetesi kuwa watatoa nafasi mwezi wa 4 ila mchakato utachukua mwezi mmoja so watu wataingia makambini mwezi wa 5
Tayarivip mkuu nafasi za jkt hazijatoka au 2017
He/she alikua anamaanisha kitivo/collegesio mimi niliyeulizwa, but chuoni hamna anayesomea faculty
Ziwekee hapana jombaa au unakurupuka kujibu tuTayari
ila ronja ni kuanzi tarehe 5 mwezi wa NNE,just ronjaa tu,so tukae mkao wa kula,SAA yoyote kinawezaa nukaaa,Tayari
I think still alkuwa wrog, alitakuwa kuuliza program gani aliyosoma, na sio kitivo/college.He/she alikua anamaanisha kitivo/college
usijari,zikitoka wadau wataziwekaa hapaa, so tembelea huu Uzi Mara kwa Marajaman nafasi za jkt 2017 azijatoka tu wakuu tujuzane bas?
Laki saba parefu sema ndo nchi yetu ishakua ivo hakuna jinc zaid ya kukubaliana na hali..... ukitaka vya halali utachelewaTulia mkuu bado sana hawa walioenda wamefungua kozi juzi tu watamaliza around June 2017 tegemea nafasi kutoka ni mwezi wa saba andaa pesa ya kuhonga isiyopungua laki saba