Nafasi za JKT zinatoka lini?

Mkuu kumbuka shughuli zote za serikali zinazogusa wananchi zimesimama mpaka watumishi Hewa waishe. Bado wanajaza matumbo yao wakubwa
 
Mkuu kumbuka shughuli zote za serikali zinazogusa wananchi zimesimama mpaka watumishi Hewa waishe. Bado wanajaza matumbo yao wakubwa
Kama ingekua ivyo mkuu, mwaka Jana mwezi Wa kumi na moja jeshi lisingechukua watu kufanya mafunzo
 
Mkuu nachokuambia huamini? Subiri wengine waje watakuambia. Je,wajua precadate wote 162 wametunzwa tu pale makao makuu bila kupelekwa monduli kumalizia kozi?
Ukipata jibu relax.
 
Back
Top Bottom