jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
Duuuh ivi mwisho miaka mingap kwa level ya diploma.Hpna
Duuuh ivi mwisho miaka mingap kwa level ya diploma.Hpna
25Duuuh ivi mwisho miaka mingap kwa level ya diploma.
We kunja ndita Tu ila huko unakoulizia wenzako tulishapita miaka kadhaa iliyopita.
Duuuh ivi mwisho miaka mingap kwa level ya diploma.
Ok poa wakitangaza unitell bc.
Aisee sijuiKwahio unashaur afanyaje ili aingie jeah
Mkuu, Kwa heshima na taadhima zote, Kwa moyo Wangu wote na mm nnapenda sana jeshi hasa JWTZ.Nilienda JKT Kwa mujibu Wa sheria lkn Kwa bahati mbaya nafasi za kujiunga na mafunzo ya kijeshi (JWTZ !!!! ) Hatukuzipewa mwaka ule.Naomba km zikitoka, unitaatifu na mm Kwa namba za Simu 0787542381 au 0759641184.Hata km itakuwa ni kuanza upya JKT Kwa kujitolea, naomba tuu unisaidie kwa kunitaarifu ili nikatumikie taifa langu teule La Tanzania.Uwe na majukumu mema mkuu.Why jwtz? Kwani polisi,uhamiaji,magereza,usalama wa taifa,fire,tanapa wakija kukuchukua huwezi kwenda? In short huu ni utawala mpya wa rais na General wa jeshi ni mpya so bado hazijatangazwa maana kila mtu anakuja na sylabus za uongozi wake.Zikitoka nitakustua maana kuna watu bado mpaka now wanaendelea na kozi so vigumu kuchukua wengine huku makambini kuna kozi zinaendelea.
Usipotoshe umma kwa lengo la kuleta taharuki.Pia Mkumbuke JWTZ kuchukua Vijana kuanzia Miaka 18-25 basi hata kwa wenye Degree.
Jeshi linashindikana Kwa anayefuata mishahara na kuweka nyuma uzalendo aisee.Jwtz, watu wanafuata mishahara mirefu tu cyo uzalendo.
Nitajitahidi mdogo wangu.Mkuu, Kwa heshima na taadhima zote, Kwa moyo Wangu wote na mm nnapenda sana jeshi hasa JWTZ.Nilienda JKT Kwa mujibu Wa sheria lkn Kwa bahati mbaya nafasi za kujiunga na mafunzo ya kijeshi (JWTZ !!!! ) Hatukuzipewa mwaka ule.Naomba km zikitoka, unitaatifu na mm Kwa namba za Simu 0787542381 au 0759641184.Hata km itakuwa ni kuanza upya JKT Kwa kujitolea, naomba tuu unisaidie kwa kunitaarifu ili nikatumikie taifa langu teule La Tanzania.Uwe na majukumu mema mkuu.
Asante sana, mkubwa naomba unisaidie kabisa ili nikawe mmojawapo ya wanajeshi wa JWTZ miaka ijayo ili nilinde, kufanyia kazi na kuendeleza taifa langu zuri, la Tanzania maana ntajuta km sintokuwa mmojawapo ya mjeshi wake (bwana Wa majeshi).Nitajitahidi mdogo wangu.
Asante sana, mkubwa naomba unisaidie kabisa ili nikawe mmojawapo ya wanajeshi wa JWTZ miaka ijayo ili nilinde, kufanyia kazi na kuendeleza taifa langu zuri, la Tanzania maana ntajuta km sintokuwa mmojawapo ya mjeshi wake (bwana Wa majeshi).Nitajitahidi mdogo wangu.
Acha kukatisha nia za watu madogo wanaomba kujuzwa iwapo nafasi zikitangazwa ikiwemo kuwapa vigezo na masharti yanatakiwa ili kuingia majeshini.So sioni kosa lao.Kwani huwa zinatoka kienyeji JF?
NdioHahaa baba yake atafaidi ..
Unamajibu mazuri dah!
Mbona wanakuogopesha ivo angel kilakitu ni nia na malengo only that!!!!Ntaanza na baba ako
Mpe na tahadhari ya kuliwa pesa yake hapo utafanya la maana sanaFanya mpango nasikia wa 4 zinatoka direct JWTZ (Hapa mpaka uwe na mawasiliano na mwanajeshi wa JW akupe utaratibu), na huwezi kurudi tena JKT mana utakuwa una'bust kozi.