maria asali
Member
- Mar 17, 2016
- 12
- 0
Naomba kujuzwa kwa anaofahamu nafasi za jkt mikoani zinatoka lini??
=========================================
=========================================
Mkuu, jeshini kwa sasa kuna figisu sana na JKT kwa kujitolea baada ya mafunzo unakaa 2yrs kusubiri jina.
Depo la mwisho mwaka jana lilikuwa na figusu sana sijui utawala mpya wa Mabeyo.
Kiufupi elimu yako ni kubwa na very marketing unaweza kupta ajira na ukasahau jeshi.
However nakusapoti sana ukiingia jeshini fani yako ni dili sana
gender yako inatakiwa sana jeshini nowdays.
NB
Kama upo Dar nenda makao makuu kabla hayajahia Dodoma. Shuka Muhimbili njia kama unaenda masaki barabara ya pili kutoka ile ya Don Bosco ifuate kuna geti la nyuma pale waambie wale was mlangoni hawana noma watakuelekeza kwa muajiri mkuu was jeshi ni kanali mmoja hivi hana shida kama wanahitaji accountant atakuweka ktk waiting list. Hii ilishamsaidi mtu wangu was karibu try this