Nafasi za JKT zinatoka lini?

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,873
2,000
Naombeni mnisaidie jamani,nafasi za jkt zitatoka lini haswa,
Kijana hongera kwa dhamira yako.

Kwa sasa subiri nafasi za jkt zitangazwe kwa ajiri ya mafunzo ya awali ambap utafanya usahili ukipita utapata mafunzo ya awali.

•utalima sana

•kwata sana ukishindwa utakuwa KO

•Mbio kwa sana

•kunyakua kama koteBaada ya miezi sita utamaliza mafunzo ya awali ambapo utaanza kusubiria ajira(vyombo mbalimbali vya dola huja kuchukua watu hapo.ki kwak

•Ndani ya miaka miwili zikija nafasi za jeshi mtafanya usahili tena upya kisha utaenda tena kozi ya ajira hii kozi ni miezi mitatu(Ni ngumu kidogo vumilia maana ina mwisho)

•baada ya hapo utaajiriwa rasmi kwa sababu utakuwa tayari mzoefu utapiganisha uende TMA ukapate uafisa hapo ndipo utakapoanza kula maisha.

Kama una swali uliza
 
Mikidadi259

Member
Nov 7, 2018
58
95

Wakija kufanya usahili haswa hua wanaangalia vigezoo gan?
 
D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
2,873
2,000
Oooh okay,, tuki keep constant ayo mambo mengne otee mkawa vzr kwaiyo mweny matokeo makubwa ndo ana pewa priority ya kupata nafasi cndo ivoo boss?
ndo hivyo but huwa unaangaliwa na muonekano aliyevaa kiheshima lazima atapewa priority kubwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom