Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Wana JF wenzangu,

Naomba kuuliza kuhusu nafasi za JKT, huku kwetu bado sijui huko mkoani kwenu kama zimetoka na kama bado kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu nafasi hizi kutoka mwezi wa ngapi?
 
Mwanangu unaonekana umepanic...
Mpaka unaamua kuji Quote mwenyewe (post #6 hapo juu)

Anyway, kwa Dar ambako naishi sijasikia aisee... Nina jamaa zangu wako pale JKT Kawe lazima wangenitonya tuu..

Kwa kifupi ni kuwa:
JKT ina phase kubwa mbili kwa mwaka.... Mwezi wa Saba na December.
Hivo basi, zikitokea nafasi hapa kati kati basi ni bahati tuu sio desturi...
 
Mwanangu unaonekana umepanic...
Mpaka unaamua kuji Quote mwenyewe (post #6 hapo juu)

Anyway, kwa Dar ambako naishi sijasikia aisee... Nina jamaa zangu wako pale JKT Kawe lazima wangenitonya tuu
hahah anataka kujijibu mwenyewe
 
Tatzo bongo FM mbao nying.....cyo kama nmepanic lahasha ila nilitaka kujua wadau...
 
Wana JF wenzangu,

Naomba kuuliza kuhusu nafasi za JKT, huku kwetu bado sijui huko mkoani kwenu kama zimetoka na kama bado kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu nafasi hizi kutoka mwezi wa ngapi?
kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom