Nafasi za JKT zinatoka lini?

Jidanganye sasa mjibu wa sheria haina inshu mwache anaende kama wa kujitolea mbona wengi tu wanarudi
Jamaa yangu tulipiga naye mujibu wa sheria tukamaliza ila yeye alipenda kurudi jkt akaomba nafasi za kujitolea akapata akapangiwa bulombora ile kufika wakakuta alishapita jkt wakamrudisha wakamwambia jkt haipigwi mara mbili
 
Back
Top Bottom