Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Binti, nafasi zaweza kutoka mwezi wa 4-6 na baada ya hapo ni hatua za udahili kama umekidhi vigezo.

Kisha taratibu za kupangiwa kambi zitafata baadae. Usijali ndugu, utasikia tu taarifa.

Uwe na tabia ya kutembelea Ofisi ya Mkuu wako wa Mkoa au Wilaya naye ataku-update juu ya maswala hayo.
Asante
 
Nna diploma ya accounting
Mkuu, jeshini kwa sasa kuna figisu sana na JKT kwa kujitolea baada ya mafunzo unakaa 2yrs kusubiri jina.
Depo la mwisho mwaka jana lilikuwa na figusu sana sijui utawala mpya wa Mabeyo.
Kiufupi elimu yako ni kubwa na very marketing unaweza kupta ajira na ukasahau jeshi.
However nakusapoti sana ukiingia jeshini fani yako ni dili sana
gender yako inatakiwa sana jeshini nowdays.

NB
Kama upo Dar nenda makao makuu kabla hayajahia Dodoma. Shuka Muhimbili njia kama unaenda masaki barabara ya pili kutoka ile ya Don Bosco ifuate kuna geti la nyuma pale waambie wale was mlangoni hawana noma watakuelekeza kwa muajiri mkuu was jeshi ni kanali mmoja hivi hana shida kama wanahitaji accountant atakuweka ktk waiting list. Hii ilishamsaidi mtu wangu was karibu try this
 
Npo arusha
 
Sihitaj ushaur nmeulza swal bro
Unajifanya kujua ilihali watu wana uzoefu kukuzidi.
Jkt saivi kuna OP tatu vikosini na zote zinasubiri ajira.
1. Masalia ya OP muungano
2. OP kikwete wapo wengi sana( walichukuliwa kama 1500 kwenda magereza the rest wapo vikosini)
3. OP Magufuli ndo inayopiga kozi sasa hivi.

Utaratibu wa jwtz wanaajiri OP iliyotangulia ndo ifuate nyingine.
 
Binti, nafasi zaweza kutoka mwezi wa 4-6 na baada ya hapo ni hatua za udahili kama umekidhi vigezo.

Kisha taratibu za kupangiwa kambi zitafata baadae. Usijali ndugu, utasikia tu taarifa.

Uwe na tabia ya kutembelea Ofisi ya Mkuu wako wa Mkoa au Wilaya naye ataku-update juu ya maswala hayo.
fact, kabisa naungana na wewe
 
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kuutaarifu umma juu ya utapeli unaoendelea kufanywa na baadhi ya watu wanaojifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana wa kitanzania kwenye mafunzo ya JKT kwa lengo la kupatiwa malipo.
Utapeli huo unafanyika kwa njia ya simu za mkononi kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno tofauti tofauti.
Jeshi la Kujenga Taifa linasisitiza kuwa ujumbe huo siyo sahihi na wananchi wanatakiwa kujiepusha na utapeli huo wenye lengo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa za mchakato wa uchukuaji wa vijana wa kujiunga na mafunzo ya JKT utolewa na Makao Makuu ya JKT kwa mfumo ulio rasmi wa mawasiliano ikiwemo luninga, radio, magazeti na tovuti ya JKT.
Aidha, JKT kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, inafuatilia kujua ni mtu gani au kikundi kipi kinahusika na utapeli huo ili hatua kali za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
Tarehe 17 Oktoba 2016
 
Unajifanya kujua ilihali watu wana uzoefu kukuzidi.
Jkt saivi kuna OP tatu vikosini na zote zinasubiri ajira.
1. Masalia ya OP muungano
2. OP kikwete wapo wengi sana( walichukuliwa kama 1500 kwenda magereza the rest wapo vikosini)
3. OP Magufuli ndo inayopiga kozi sasa hivi.

Utaratibu wa jwtz wanaajiri OP iliyotangulia ndo ifuate nyingine.
 
mamy fanya tu mambo mengine mwaka huu....mgumu...sana hasa kwa wenye malengo ya kutafuta hizo nafasi za kiserikali...jishughurishe ata na kilimo, biashara...ama fani nyingineyo yoyote lakini kungoja hizi nafasi za bahati nasibu ni kujipotezea muda...
good for something....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom