Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Hah
Unataka form mkuu? Njoo gheto kwangu uchukue... si unataka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wa kukurupuka vp? Usikurupuke sana dole lisije likapenya, ukikurupuka bana makalio hayo, sawa?? Askari huwa hawi mzembe kama wewe pambana bwana mdogo usipende rahisi naona unawaonea wivu sana Dada zako kuzaliwa wanawake unahisi wanapata raha sana, nenda kwa shemeji ukaolewe mke wa pili wa kwanza Dada yako wa pili wewe, jeshi halikufai bwanamdogo wa kukurupuka
 
Jamani kila mmoja apambane na hali yake haya mambo hayataki hasira.... wakijisikia kutoa nafasi watatoa wasipojisikia kutoa [HASHTAG]#FRESH[/HASHTAG] TUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msifarakane wana Jamii forum, mambo yatakuwa sawa hata yakichelewa,hivyo kuweni na subira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom