MERIDA
Member
- Mar 9, 2017
- 65
- 20
hakunaga hyo mpaka mwakani
hakunaga hyo mpaka mwakani
Izo ni taarifa tu UA tunamezeshana ila kaka kila level ya elimu ina idadi kamili inayoitajika kwaio kama ni watu 20 wa level ya chuo ikiwa bahati yako utachukuliwa ila tu kwa level ya nyinyi watu wenye elimu ya chuo UA ni idadi ndogo sana ambayo UA wanachukua labda icho ndo wanachoshndwa watu kutofautishaAah sawa kiongz wangu na vp zile tetes kwamba et ukiambatanisha na vyet vya chuo wanakukata hawakuchagui vp kuna ukwel wowte hapo mkuu
hakunaga hyo mpaka mwakani
Subiri walioajiliwa waje kukupa taarifa kama kila MTU anajitambulisha au kama unapenda kuendelea kupata ronja ili siku ziende napo sawa mana aya mambo nayo bila ronja utashindwa kuvumilia
Mwaka gani huo
kivipi mrnasikia serekali washaliamsha dude leo vip kuna ukwel ndani yake
kivipinasikia serekali washaliamsha dude leo vip kuna ukwel ndani yake
umevuta kitu cha arusha nn
nasikia wametoa nafasi za jkt ila sina uhakika 100%kivipi mr
Ya kweli hayo
wangekuwa wamesha toa tungeona kwenye website yao jkt.go.tznasikia wametoa nafasi za jkt ila sina uhakika 100%