walisha subiri tangu mwezi wa tatuMsiwaze wazee mzigo utatema siku yeyote cha msingi ni kuwa na subra...!!
Huenda kuna sabab za wao kuchelewesha ndo mana cha msingi nikusikiliziawalisha subiri tangu mwezi wa tatu
Kwan walioweza wa nn mpaka tushindwemutawezaaaaaa
angalia attachment niliyo kurushia hapo ndo ujibu swaliKwan walioweza wa nn mpaka tushindwe
fu nunu ni kwamba kuna OP nne jkt hazijapata ajira labda mpaka ibaki OP moja ndiyo watoe tena, kwahyo hapo labda mwakani miezi ya mwishoHuenda kuna sabab za wao kuchelewesha ndo mana cha msingi nikusikilizia
Nshaangalia huyo jamaa inaonyesha kama akil ziliruka flan hvianga
angalia attachment niliyo kurushia hapo ndo ujibu swali
depo wanaenda kwanza walimu wakitoka hao ndiyo wataenda wakujitolea. kwahyo bado sanaaNshaangalia huyo jamaa inaonyesha kama akil ziliruka flan hvi
Haina shida mkuu Ngoja tusubiri mpaka hapo wakati utakapo Wadia...!!depo wanaenda kwanza walimu wakitoka hao ndiyo wataenda wakujitolea. kwahyo bado sanaa
Kwani nilazima kupata ajira JKT? Sheria & mikataba yao inasemajefun
fu nunu ni kwamba kuna OP nne jkt hazijapata ajira labda mpaka ibaki OP moja ndiyo watoe tena, kwahyo hapo labda mwakani miezi ya mwisho
Ukweli usiopingikaJKT haitoi ajira jamani tufungue akili zetu.... nafasi zitatoka tuu tuache kufanyana kua ni lazima wote waliopo JKT waajiriwe na vyombo vya ulinzi & usalama, tuweke akilini kwamba mikataba yao inaeleza wazi wazi kua baada ya mkataba kuisha ni lazima kijana arudi nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mike ondoa iyo fununu huku ktk chombo kuna lonja tu!!fun
fu nunu ni kwamba kuna OP nne jkt hazijapata ajira labda mpaka ibaki OP moja ndiyo watoe tena, kwahyo hapo labda mwakani miezi ya mwisho
Labda labda nyingi, ina maana hauna uhakika na unenalo, ni kweli hauna uhakika kwa kusema kwamba ni lazima op ziajiriwe wakat jkt haiajir ila inatoa mafunzo tu kisha watu wanasikilizia ajira ndani ya miaka miwili ya mkataba na kama hukupata ajira basi warud kwenu kwan si lazima muajiriwe wote.fun
fu nunu ni kwamba kuna OP nne jkt hazijapata ajLA,a labda mpaka ibaki OP moja ndiyo watoe tena, kwahyo hapo labda mwakani miezi ya mwisho
Sikuizi ukienda JKT haurudi mtaani lazima uende ajira yoyote labda utake mwenyewe na siyo kwenda kule kutafuta ajira.Labda labda nyingi, ina maana hauna uhakika na unenalo, ni kweli hauna uhakika kwa kusema kwamba ni lazima op ziajiriwe wakat jkt haiajir ila inatoa mafunzo tu kisha watu wanasikilizia ajira ndani ya miaka miwili ya mkataba na kama hukupata ajira basi warud kwenu kwan si lazima muajiriwe wote.
Waliopo kwenye chombo hawanaga muda wakuchati mitandaoni. Namaanisha hata wewe haupo kwenye chombo