Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Labda labda nyingi, ina maana hauna uhakika na unenalo, ni kweli hauna uhakika kwa kusema kwamba ni lazima op ziajiriwe wakat jkt haiajir ila inatoa mafunzo tu kisha watu wanasikilizia ajira ndani ya miaka miwili ya mkataba na kama hukupata ajira basi warud kwenu kwan si lazima muajiriwe wote.
hiv ni kwel watu wanaoongea kwa kugugumia hawachukuliw jeshin mdau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mnalia sana oke ni hivi nafasi zitatoka kabla ya December thc year kwani kureport ni December, kila la heri vijana mtakaochaguliwa operation VIWANDA.
 
Vijana mnalia sana oke ni hivi nafasi zitatoka kabla ya December thc year kwani kureport ni December, kila la heri vijana mtakaochaguliwa operation VIWANDA.
vipi wataingia na madogo wa form 6 nini??? kama mwaka jana
 
Vijana mnalia sana oke ni hivi nafasi zitatoka kabla ya December thc year kwani kureport ni December, kila la heri vijana mtakaochaguliwa operation VIWANDA.
mkuu nikweli au ronja tu.
 
Tulia mkuu bado sana hawa walioenda wamefungua kozi juzi tu watamaliza around June 2017 tegemea nafasi kutoka ni mwezi wa saba andaa pesa ya kuhonga isiyopungua laki saba
Mwanangu mwezi wa June umepita mpaka sasa kimiya una habari.mpya
 
Mkuu laki saba parefu sana aisee but nimesikia tetesi kuwa watatoa nafasi mwezi wa 4 ila mchakato utachukua mwezi mmoja so watu wataingia makambini mwezi wa 5
Mambo yamebadilika Mana tuwe wapole kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom