Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Mmhhhh
Kweli hii lugha ilokuja na majahazi ina ugumu wake.
Hapa nimetoka kapa kabisa yaani.
Msaada Wa tafsiri mkuu

Hiyo lugha waswahili tunaipenda ila yenyewe haitupendi.

Bora kutiririka kibantu tu.
 
Wewe nae acha kutisha watu, bado upo enzi za zamani. Acha nikupe mfano kitengo CIA cha marekani yaani kama Usalama wa taifa kwa Tanzania, kimeweka taarifa zake zake zisizo za siri Mtandaoni, cha ajabu wewe unataka kuzuia uhuru wa watu kupashana habari. Kitu gani kinahatarisha usalama wa myu, nchi au jeshi linalozungumziwa hapo juu? Acha na wenzako wapate taarifa na kujiunga na keshi lao acha kuwakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefanya nini maana quotation yako siielewi ujue??
 
Weka kila kitu,usijali,saiv wanawataka xana watu wa afya kambi nying mpya za JKT hazina hao watu,we weka vyotee
Sawa kaka na zile itikadi kwamba watu wenyew vyet vya chuo wanakatagwa kwenye usajili
 
Msiulize Tena kuhusu nafasi za jkt..... Naona wajuaji wanasogeza siku tuu.. Mara WA nne.. WA tano Sita saba WA nane sa hvi... Mtafika hadi WA kumi na Tatu... Hakuna anae jua lini zitatoka isipo kuwa mamlaka yenyewe tuu.... Mnaeza peana uzoefu mwengine ila ya kwamba zinatoka....... Lini... Humu jf hakuna anae juaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae acha kutisha watu, bado upo enzi za zamani. Acha nikupe mfano kitengo CIA cha marekani yaani kama Usalama wa taifa kwa Tanzania, kimeweka taarifa zake zake zisizo za siri Mtandaoni, cha ajabu wewe unataka kuzuia uhuru wa watu kupashana habari. Kitu gani kinahatarisha usalama wa myu, nchi au jeshi linalozungumziwa hapo juu? Acha na wenzako wapate taarifa na kujiunga na keshi lao acha kuwakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutishe wewe ili iweje? Acha ujinga na upuuzi huo, tumia akili kabla hujakurupuka ulipotoka huko
 
Wewe nae acha kutisha watu, bado upo enzi za zamani. Acha nikupe mfano kitengo CIA cha marekani yaani kama Usalama wa taifa kwa Tanzania, kimeweka taarifa zake zake zisizo za siri Mtandaoni, cha ajabu wewe unataka kuzuia uhuru wa watu kupashana habari. Kitu gani kinahatarisha usalama wa myu, nchi au jeshi linalozungumziwa hapo juu? Acha na wenzako wapate taarifa na kujiunga na keshi lao acha kuwakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waonyeshe hizo form zinapouzwa wakanunue si Uhuru wa kuchatt, mjinga mmoja wewe kila jambo unaona rahisi rahisi pumbavu sana wewe
 
Eti wakubwa, kuna uwezekano mtu kmaliza form four amesomea driving course akifika jeshini kuna uwezekano wakuomba kusomea course kama diploma ya procurement then anarudi kuendelea na jeshi ? Na je ataweza kufanya hivyo akiwa kwenye ajira au anapo maliza mafunzo ya miezi sita Jkt?
 
Wewe nae acha kutisha watu, bado upo enzi za zamani. Acha nikupe mfano kitengo CIA cha marekani yaani kama Usalama wa taifa kwa Tanzania, kimeweka taarifa zake zake zisizo za siri Mtandaoni, cha ajabu wewe unataka kuzuia uhuru wa watu kupashana habari. Kitu gani kinahatarisha usalama wa myu, nchi au jeshi linalozungumziwa hapo juu? Acha na wenzako wapate taarifa na kujiunga na keshi lao acha kuwakatisha tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are in wrong position
 
Jaman marafiki kuna jipya lolote toka selikalini kuhusu liletunalo itaji.kwa mwenye habari njema tujuzane maana mwaka huu ratiba imetuvuruga et hata hatuelewi SK ni lini so tunabahatisha kwa wachache mnaopata habari tujuzane humu ndani aksanteni
 
Wew jiajiri huko uliko usikae kutegemea serikali,, jkt mpka 2018 ndo itaanza tena. Fanya kazi na ulipe kodi
 
kazi ipo Tanzania ya leo hata kuingia jeshi ni vikwazo
 
Too difficult kwa sababu hautakiwi uwe umezaa na Madaktari Kutoka hospital ya Lugalo ndo watagundua kua wewe ni Mmama Jeshi ni kwa Wasichana tuu.
why akina dada waliozaa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi?nacho elewa mimi ni kuwa na afya njema,elimu inayokubalika kujiunga na jeshi ,mtanzania(sijui hili wanalijua vipi)mbona bado tunaendeleza sharia kandamizi kwa wanawake?huu ni utawala DUME kuna wanajeshi wengine ni marubani ambao walijiunga na majeshi yao wakiwa na watoto.
 
kazi ipo Tanzania ya leo hata kuingia jeshi ni vikwazo
Ni nouma yani et walio maliza form six to ss wa certificate ni shigidi yan hapa ila hakuna kata tamaa pambana huku unatafuta any mission kwa hii ya serikali ni patapotea
 
Jaman humu ndani mpo mwezi wa 8 ndo huu hamna mwenye tetesi zozote kuhusu hizo nafasi kama kweli ni mwezi wa 9 wengine tumesitisha mambo mengine kuzisikilizia
 
Nenda kambi yyte ya JKT iliyo karbu n ww ukaulize sw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom