Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Dah!! Kaka kutokana na kusitishwa kwa ajira hiv karibuni ili kupisha uhakiki wa vyet japo haukupita jeshini,pia jeshi lilisimamisha ajira pia,hivyo tutarajie mwez wa saba hivi mara baada ya ajira mpya kutangazwa

kitaifa sababu kuna operations kama m
bili hiv kama sio tatu bado hazijaajiriwa so kuna foleni ijapokuwa JWTZ imeshaajiri ila bado kuwapeleka wahusika katk makambi yao ya JWTZ hivyo mara baada ya kufanya hivyo bas watu wengne wataitwa i mean wakujitolea
Nashukuru kwa ufafanuzi Mkuu naomba tupeane update maana mim pia natamani kujiunga nina Diploma ya Afya
 
Dah!! Kaka kutokana na kusitishwa kwa ajira hiv karibuni ili kupisha uhakiki wa vyet japo haukupita jeshini,pia jeshi lilisimamisha ajira pia,hivyo tutarajie mwez wa saba hivi mara baada ya ajira mpya kutangazwa

kitaifa sababu kuna operations kama m
bili hiv kama sio tatu bado hazijaajiriwa so kuna foleni ijapokuwa JWTZ imeshaajiri ila bado kuwapeleka wahusika katk makambi yao ya JWTZ hivyo mara baada ya kufanya hivyo bas watu wengne wataitwa i mean wakujitolea
mkuu hiv nafas zikishatangazwa zinachukua mda gani mpk watu kwenda kikosini kuanza tiz
 
Vipi kwa waliopita kwa mujibu wa sheria na wapo mtaani saizi wakitaka kujiunga na jwtz ni utaratibu upi ufuatwe?
 
Wilayani wanaangalia sana majina pamoja na vyeti,pia mnakimbizwa kidogo pia wana sort proffesion ambazo wanazitaka then mnakwenda katk ngaz ya mkoa huko sasa mnaweza bigwa oral enterview hivyo kani ni form six na kuendelea juu you must make an introduction in english language but kurudi chini ya
wanaangalia majina KVP? na vyet kivp Mkuu?
 
kwa akili ya kawaida kabisa...kuna ma service wengi mnoo kwenye vikosi vya malenzi nikijumlisha na Op Magu basi zitakua OP 2 nzima hazina ajira yoyote pamoja na baadhi ya walioachwa kwenda kupiga orjolo...matarajio kuna kibanga hatari kitapigwa mwezi ujao ambacho watu wengi kuanzia OP kikwete watapiga kozi ya jw...baada ya kibanga hicho kwenda ndio jkt wanaweza wakawafikiria watu wapya wakujitolea ambao wanaweza kwenda december au september kuanza mafunzo.
nackia kuna Op muungano nao kule
 
wanaangalia majina KVP? na vyet kivp Mkuu?
Wanalinganisha majina ya vyeti vyako vyote kama yanafanana so,kwa form four ni kuanzia darasa la saba na na chet cha form four pamoja na chet chochote cha ufund ambacho utaambatanisha.form six na kuendelea ni kuanzia chet cha form four had
Hadi ulipokomea.
 
Hey!! Guys,at any time,any day and any hour,from today Jkt will prounce usahil kwa wa kujitolea,so for those who need,stay turned.
Tupe za kunyapia nyapia ulizozisikia hivi karibuni.. Mzigo unatoka mwezi wa ngapi
 
Wanaotaka nafasi za jkt wanicheki pm ..ilikuwa inasubiriwa bajeti kuu ya serikali ipite ndo mambo yaende sawa.
 
Acheni ujinga.
Hakuna shotkati msije kulia nyie viumbe.
Tembeleeni vyombo husika kupata taarifa hizo na sio vinginevyo.

Mkipigwa ndio akili itakua sawa. Uwezekano ni mdogo watu kwenda jkt mwaka huu. Elewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom