Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Kwa watu wenye professional wanazidi hiyo miaka usidanganye umma
Professional ipi? Unafikiri kila MTU anachelewa Shule kama wewe watu wana Graduate Kuanzia Miaka 22, kwa degree ya miaka mitatu 23 kwa miaka minne na 24 kwa Udaktari. Usichanganye JKT na JWTZ
 
Dah kweli tz tunasafari ndefu kama kuna vichwa maji kama wew ....kuna tofauti kati ya graduate and professional aliyekuambia Mtu akishagraduate anakuwa teari professional ni nani????????
 
Nimekwambia Ni Professional Gani Inayofanya Wewe wakuingize Ukiwa Na Zaida ya Miaka 25? labda hujui maana ya Professional! Simple definition ni hii
IMG_20170610_130928_604.JPG

Bado Mifano Niliyotoa inafikia Mwisho Miaka 25 tuu hata kwa Madaktari wanaosoma kwa miaka 5

Let Say Mwanafunzi Amegraduate Leo Shahada ya Uhasibu akiwa na Miaka 23 atafanya Mitihani ya Board/CPA mwaka 1 na atapiga Internship/ au atakaua Mentored kwa mwaka 1 Obvious anakua professional akiwa na Miaka 25.

Okay Tuseme Daktari atahitaji Internship ya Mwaka 1 so akiwa na Miaka 25 yeye ni Professional

Graduate Lawyers anatakiwa kwenda mwaka 1 Law school baada ya Hapo ndani ya Miaka 25 anakua Professional

Siku Nyingine Usome siyo Kukurupuka Ku Comment Kama ndani ya Miaka 25 haujawa Professional labda ulichelewa kuingia shule au Ulikua Mtu wa Ku re-sat mitihani mi nilikua Professional Nikiwa na Miaka 25 tuu.
IMG_20170610_132352_699.JPG
 
Acha Kujamba Mbele za Watu kwanza Jamii Forums yenyewe Umejiunga Juzi!

Nimekwambia Ni Professional Gani Inayofanya Wewe wakuingize Ukiwa Na Zaida ya Miaka 25? labda hujui maana ya Professional! Simple definition ni hii
View attachment 521951
Bado Mifano Niliyotoa inafikia Mwisho Miaka 25 tuu hata kwa Madaktari wanaosoma kwa miaka 5

Let Say Mwanafunzi Amegraduate Leo Shahada ya Uhasibu akiwa na Miaka 23 atafanya Mitihani ya Board/CPA mwaka 1 na atapiga Internship/ au atakaua Mentored kwa mwaka 1 Obvious anakua professional akiwa na Miaka 25.

Okay Tuseme Daktari atahitaji Internship ya Mwaka 1 so akiwa na Miaka 25 yeye ni Professional

Graduate Lawyers anatakiwa kwenda mwaka 1 Law school baada ya Hapo ndani ya Miaka 25 anakua Professional

Siku Nyingine Usome siyo Kukurupuka Ku Comment Kama ndani ya Miaka 25 haujawa Professional labda ulichelewa kuingia shule au Ulikua Mtu wa Ku re-sat mitihani mi nilikua Professional Nikiwa na Miaka 25 tuu.
Acha unanga wew ingiza engineer hapo let's say kama unavyotaka anamaliza akiwa na 24 yr haya plus 3 years yakuwa professional itakuwa teari na 27 so utasema anakatiliwa jeshini????
 
Mkuu usitake kulazimisha kitu ambacho hakipo ....ifike wakati watu wawe wanaacha kupotosha umma aisee
 
Mtu mwenye professional jeshi linachukua mpaka mwisho miaka 35, sasa sijajua huyo jamaa hizo details zake anazitoa wapi... sio kila mada lazima mtu uchangie, ukiona hauna picha halisi ya kitu kinachoongelewa ni bora kunyamaza sio kupotosha wenzako wenye nia ya kufahamu jambo husika.
 
Huyo jamaa anajifanya mjuaji saana nimemuuliza swali hapo je professional engineer mweye miaka 27 anakatiliwa ?? Naona amekimbia kujibu
 
Acha unanga wew ingiza engineer hapo let's say kama unavyotaka anamaliza akiwa na 24 yr haya plus 3 years yakuwa professional itakuwa teari na 27 so utasema anakatiliwa jeshini????
Na Ndiyo Maana Jeshi Pia Huwachukua Vijana Waliomaliza Form Six unafikiri wale wanabakiaga Form Six Milele? Nina ndugu yangu anapiga Course China Aerospace Engineering yeye alingia na PGM mwaka 2014 kwa hiyo Usitake Kulazimisha Miaka Uliyonayo wewe Kama Una Miaka 27 kuna Majeshi Mengi Sana Tanzania Nenda Magereza Patakufaa. Ila JWTZ Umri mwisho miaka 25.

Kujiunga JWTZ
Uandikishaji
Askari
Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi
la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kwa sifa zifuatazo: -
*. Awe raia wa Tanzania
*. Awe na Elimu ya kidato cha nne
nakuendelea na awe amefaulu..
*. Awe hajaoa/hajaolewa
*. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
*. Awe na tabia na mwenendo mzuri
*. Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
*. Askari atapewa nambari ya utumishi
baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
*. Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo
cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi
kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa
kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
*. Bodi ya Uteuzi wa Maafisa
(OfficersSelection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya
kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na
Shule za askari wapya (Recruitment
Schools).
*. Watakaofaulu masailiano hayo hupewa
hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet),
na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military
Academy) kwa mafunzo yauafisa kwa muda
wa mwaka mmoja.
Source:www.tpdf.mil.tz (website yao kwa Sasa haiko hewani)
 
Huyo jamaa anajifanya mjuaji saana nimemuuliza swali hapo je professional engineer mweye miaka 27 anakatiliwa ?? Naona amekimbia kujibu
Huo ndo Ukweli Unataka JWTZ likubebe wewe mwenye Miaka 27? Ha!ha! Umri Mwisho Ni Miaka 25 Nje ya Hapo watachukua Graduate Engineers kwa Sababu Jeshini nako wako Kibao So Usijipigie Upatu Wenzio nao Walipiga Interview wakiamini Kuwa Madaktari hawana Ushindini Kilichowatokea ni Siri yao.
 
Mkuu unachozungumza ni sahihi kabisa lakini katika muktadha usio sahihi kwa asilimia 100 ,hizo kanuni hasa hasa zilitumika kipindi kile ambapo JWTZ ilikua inachukua vijana moja kwa moja uraiani lakini toka wachukue kwenye makambi ya JKT io miaka 25 sio kigezo nina watu ninaowafahamu zaidi ya 20 walioingia chomboni wakiwa na zaidi ya huo umri.
Kitu kingine mkuu ni kwamba wewe unaroho mbaya sana kama sio humu JF tu na nje upo hivo hivo nnahakika mafanikio ulionayo hayatokua ya kudumu,ACHA ROHO MBAYA Allen Sr
 
Mnabishania jwtz jkt mmepita.... Sio Mnabishana tuu afu mpo home au uraiani mnadili na mishe zingine tofauti..... By the way..... Nnachofahamu wanachukua kulingana na uhitaji wao... So incase wakahitaji graduates wanachukua tuu hata kama wana 30 yrs...
 
JWTZ haichukui Mbwa Mzee wa Miaka 27! Mwisho miaka 25!
 
Kwaio uyo ndugu yako alkua mbwa wa miaka mingapi?
Yeye alikua na Miaka 21 aliingia na Form Six dogo alikua anapenda Jeshi hakutaka hata Kwenda Chuo Japo alipata II-12 (PGM) Mwaka 2013 Sasa hivi First Lieutenant (Luteni)- Nyota mbil naona Akirudi China atakua Captain. and he is still 24 he has a Bright future dogo wanaweza Kufika hata Brigedia Jenerali tumuombe Mungu kwa Jeshi lina veyeo Vingi bado yuko mbali.
 
Yah bt kwenda wanaenda boss,pia first lieutenant ni nyota moja(luteni usu) tunamuombea afike mbali tho kufika vyeo vya senior officers hua mipango ni mingi .
 
Dogo First Lieutenant ni Nyota Mbili Niamini Mimi!

Second Lieutenant ni Nyota moja mdogo wangu

Ni kama Head Master (**)= Second Master (*)
 
Na Ndiyo Maana Jeshi Pia Huwachukua Vijana Waliomaliza Form Six unafikiri wale wanabakiaga Form Six Milele? Nina ndugu yangu anapiga Course China Aerospace Engineering yeye alingia na PGM mwaka 2014 kwa hiyo Usitake Kulazimisha Miaka Uliyonayo wewe Kama Una Miaka 27 kuna Majeshi Mengi Sana Tanzania Nenda Magereza Patakufaa. Ila JWTZ Umri mwisho miaka 25.

Kujiunga JWTZ
Uandikishaji
Askari
Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi
la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kwa sifa zifuatazo: -
*. Awe raia wa Tanzania
*. Awe na Elimu ya kidato cha nne
nakuendelea na awe amefaulu..
*. Awe hajaoa/hajaolewa
*. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
*. Awe na tabia na mwenendo mzuri
*. Awe na akili timamu na afya nzuri
Masharti ya Utumishi
*. Askari atapewa nambari ya utumishi
baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
*. Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo
cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi
kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa
kibali cha Mkuu wa Majeshi.
Maafisa
*. Bodi ya Uteuzi wa Maafisa
(OfficersSelection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya
kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na
Shule za askari wapya (Recruitment
Schools).
*. Watakaofaulu masailiano hayo hupewa
hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet),
na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military
Academy) kwa mafunzo yauafisa kwa muda
wa mwaka mmoja.
Source:www.tpdf.mil.tz (website yao kwa Sasa haiko hewani)
kwa hao 4m 6 wanaofanya mtihan unakuwaje,yan wa masomo walio soma advanc na olevel au ipo VP Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom