Mimi nina certificate ya nursing mkuu vp kule nitafapata kitengoHakuna kitengo kinachokosekana kule ila pia itategemea umepangiwa kikosi gani?
Mimi nina certificate ya nursing mkuu vp kule nitafapata kitengoHakuna kitengo kinachokosekana kule ila pia itategemea umepangiwa kikosi gani?
Ndio mnaohitajika sana katka hospitali za kijeshi kama vile lugalo,so kinachomata ni umri wako na damu yako kama ipo salama au laa.Mimi nina certificate ya nursing mkuu vp kule nitafapata kitengo
mwezi wa kumi mwaka huu natimiza miaka 23 vp kwa miaka hio naweza nikakubaliwa na damu yangu ipo fresh tNdio mnaohitajika sana katka hospitali za kijeshi kama vile lugalo,so kinachomata ni umri wako na damu yako kama ipo salama au laa.
Ulimaliza kidato cha 4 mwaka gani?mwezi wa kumi mwaka huu natimiza miaka 23 vp kwa miaka hio naweza nikakubaliwa na damu yangu ipo fresh t
Kifup Jeshin watu Wanafundishwa Roho Mbaya Ndio Mana Wanajeshi wengi Wana Roho Ngum[/QUOTE
Ushauri wa bure uende JKT huko ndipo kuna kila kitu mtaani ni kubahatisha au hakuna kabisaNdiyo mkuu niunganishe basi
Sawa mkuu barikiwe kwa nasaha yakoUshauri wa bure uende JKT huko ndipo kuna kila kitu mtaani ni kubahatisha au hakuna kabisa
Nilimaliza mwaka 2013 kidato cha nneUlimaliza kidato cha 4 mwaka gani?
Pitieni hapa vijana msije mkaliwa pesa zenu na matapeli kizembe
Kwa sasa umri wako upo sawa,hivyo pigania nafasi zitakazotangazwa hivi punge,sababu wenye for4 had darasa la saba wanatakiwa wawe na umri kati ya miaka 18-23 na ww upo hapo,ukikosa tu intake hii usubir intake ya mwez wa kumi na mbili nayo ukikosa tu jipange kubadilisha umri na kama itawezekana.mwezi wa kumi mwaka huu natimiza miaka 23 vp kwa miaka hio naweza nikakubaliwa na damu yangu ipo fresh t
Hilo ni kweli kuna pc wa ffu kanambia kuwa nafasi za police zimefika mikoani washazinyaka wakuuHayo huwa wanasema tu ila hadi sasa watu washapanga vijana wao hivyo nafasi zikitoka tu ujue zimeshajaa.
Mkuu tunategemea intake lini hapa karibuni ?Kwa sasa
Kwa sasa umri wako upo sawa,hivyo pigania nafasi zitakazotangazwa hivi punge,sababu wenye for4 had darasa la saba wanatakiwa wawe na umri kati ya miaka 18-23 na ww upo hapo,ukikosa tu intake hii usubir intake ya mwez wa kumi na mbili nayo ukikosa tu jipange kubadilisha umri na kama itawezekana.
Dah!! Kaka kutokana na kusitishwa kwa ajira hiv karibuni ili kupisha uhakiki wa vyet japo haukupita jeshini,pia jeshi lilisimamisha ajira pia,hivyo tutarajie mwez wa saba hivi mara baada ya ajira mpya kutangazwaMkuu tunategemea intake lini hapa karibuni ?
Kaka sasa kwa situation kama hii,ngoma ni had mwez wa saba.coz kama kutangazwa kwa mwez sita ilibid zishatangazwa.Mkuu tunategemea intake lini hapa karibuni ?