Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Mm ni dawn town kitambo,hivyo jiulize mm natokea jiji gani na sio kijiji,kwa kukusaidia tu m ni mzaliwa wa Dar es salaam pande za Temeke pale.Na ninacho ongea nina uhakika nacho na sio nabishana tu.
Temeke tarafa gani, Kata gani na mtaa gani?
 
Rais ataishia huko huko kwa ccm wenzie na sio jeshini
Huku kunataratibu zao na kumejaa rushwa na kujuana sana kuna jamaa aliuziwa form ya jkt kwa laki tano na mwenzie alifanyiwa mpango akaingizwa bure yaani Kama hauna channel au mtu wa kukushika mkono jeshini kuingia ni kazi kweli kweli
Wewe ulishawahi kununua hiyo fomu kwa hiyo 500,000?je ulipata hiyo nafasi!? Ni nani alikuuzia fomu? Uliuziwa fomu baada ya kufaulu usaili wa ngazi ya wilaya au kabla ya usaili ?
 
Mbona unanitisha kwa hy cc maskini na hatuna marefa csahau kabisaaaaa kwenda jkt?
Usikatishwe tamaa na hao vijana waliozoea kutoa rushwa na kubebwa. Kama sifa unazo utaingia JKT hata kama huna ndugu.

Subiri nafasi zitoke, peleka maombi yako wilayani,
 
Sasa nackia ukpta wilayani....mkoani yena kunakuwa na mchujo......
inakuaje apo.....???
Mchujo huo unalenga nn haswa....??
Wilayani wanaangalia sana majina pamoja na vyeti,pia mnakimbizwa kidogo pia wana sort proffesion ambazo wanazitaka then mnakwenda katk ngaz ya mkoa huko sasa mnaweza bigwa oral enterview hivyo kani ni form six na kuendelea juu you must make an introduction in english language but kurudi chini ya
 
Kwema wakuu,,? Naomba kuuliza mpaka uweze kuchaguliwa kwenda JKT kwa wale wa kujitolea ni vipimo gani unatakiwa upime ili uweze kuchukuliwa..? au ni watu wenye magonjwa gani ambao hawatakiwi na jeshi tofauti na UKIMWI..?
CC
melkiorysaranga
Ambiele Kiviele
sanchez255
Zahoro Uchwa
watajwa hapo juu na wengine mnaofahamu tafadhali naomba majibu yenu
 
Hyo course ilkuwa ni ya JKT au TPDF.. Au niwale ambao walikaa mda mrefu kule orijoro?
Ni wale waliokaa kwa muda,wale wa TPDF maana mafunzo ni kama shule yan ni lazima wengine waingie form two na kisha wengne waanze form one.hivyo walikuwa wanasubr vijana wale wamalize mafunzo yao ya TPDF.
 
Poa Endelea Kubisha Kuwa Hakuna Form Za Baba Kantuma

Mwaka Jana Kuna Dogo Mmoja Nikimwambia Piga kote Kote Wilayan Mkoa Na Baba Kantuma

Kwa Bahat Mbaya Huko Wilayan Na Mkoan Mambo Yakuja Kubuma Nikamwambia Subir Baba Kantuma Nw Yupo Kanembwe Anasubili Kuapa Tuu

Kingine Usicho Kijua Hakuna Sehem Ngum Kama Wilayan

Wilayan Kama Hauna Mtu Wa Kukishika Mkono Hata Mkoa Haufiki

Na Unaweza Ukawa unajuaana na mtu Bado Akakupiga Chin

Ona Tuu Watu Wamevaaa Kombat

Nakumbuka Mwaka Jana Kulikuwa na wadau kama nyinyi walikuwa wanaulizia sana hiz Nafasi

Kama

MamaFacebook

Field Marshal

Na wengine wengi Tuu wengine nshawathahau
Inabidi unitake radhi kwenye hayo majina ulionihusisha,hope unajua maana ya Field Marshal.Baada ya kujua jiulize nimeanza kulitumia hilo jina humu mwaka gani au kisha assume hadi nimeanza kujiita hivyo ilinichukua muda gani na kwanini.
 
Wilayani wanaangalia sana majina pamoja na vyeti,pia mnakimbizwa kidogo pia wana sort proffesion ambazo wanazitaka then mnakwenda katk ngaz ya mkoa huko sasa mnaweza bigwa oral enterview hivyo kani ni form six na kuendelea juu you must make an introduction in english language but kurudi chini ya
Tofauti na kusimuliwa mkuu huna unachojua kuhusu haya masuala ni busara ukakaa kimya...nimesemo majibizano yenu wewe na ambiele kivile nikagundua wewe huna unachojua kabisa tena kabisa...Ambiele kivile tatizo lako unakariri tu basi but mambo mengine upo sahihi.
 
Kaka
Kwema wakuu,,? Naomba kuuliza mpaka uweze kuchaguliwa kwenda JKT kwa wale wa kujitolea ni vipimo gani unatakiwa upime ili uweze kuchukuliwa..? au ni watu wenye magonjwa gani ambao hawatakiwi na jeshi tofauti na UKIMWI..?
CC
melkiorysaranga
Ambiele Kiviele
sanchez255
Zahoro Uchwa
watajwa hapo juu na wengine mnaofahamu tafadhali naomba majibu yenu
Kaka jeshi haliruhusisu mgonjwa wa aina yoyote si magonjwa ya kuonekana wala magonjwa yasiyo onekana,hivyo you have to be fit enternal and external ila kwa kamlete hupitishwa kiaina sasa bas kama una ugongwa ambao hauonekani unatakiwa ufanye mbinu sana ili upite,kama vile kumtafuta mtu akupigie debe,sababu kuna rafik yangu mmoja hiv alipita kwa debe hali ya kuwa ana alama ya operation tumboni.
 
Ronja ya moto kabisa....Orjolo matarajio ya kuapa ni tar 16 mwezi huu na hawa OP Magu matarajio ni tar 23 mwezi huu but nasisitiza kama hakutakua na as where.
 
Tofauti na kusimuliwa mkuu huna unachojua kuhusu haya masuala ni busara ukakaa kimya...nimesemo majibizano yenu wewe na ambiele kivile nikagundua wewe huna unachojua kabisa tena kabisa...Ambiele kivile tatizo lako unakariri tu basi but mambo mengine upo sahihi.
Ok kaka acha nikae kimya.
 
kwa akili ya kawaida kabisa...kuna ma service wengi mnoo kwenye vikosi vya malenzi nikijumlisha na Op Magu basi zitakua OP 2 nzima hazina ajira yoyote pamoja na baadhi ya walioachwa kwenda kupiga orjolo...matarajio kuna kibanga hatari kitapigwa mwezi ujao ambacho watu wengi kuanzia OP kikwete watapiga kozi ya jw...baada ya kibanga hicho kwenda ndio jkt wanaweza wakawafikiria watu wapya wakujitolea ambao wanaweza kwenda december au september kuanza mafunzo.
 
Kaka

Kaka jeshi haliruhusisu mgonjwa wa aina yoyote si magonjwa ya kuonekana wala magonjwa yasiyo onekana,hivyo you have to be fit enternal and external ila kwa kamlete hupitishwa kiaina sasa bas kama una ugongwa ambao hauonekani unatakiwa ufanye mbinu sana ili upite,kama vile kumtafuta mtu akupigie debe,sababu kuna rafik yangu mmoja hiv alipita kwa debe hali ya kuwa ana alama ya operation tumboni.
Daah sasa huyo wa operation alimaliza kweli course huyo si mshono ulifumuka..?
halafu kwa nini watu wengi wakienda Jeshini wanakuwaga na mikwara sana ya kuna mshkaji mmoja hivi tunapiga nae mazoezi ya kawaida kaingia depo mwaka jana na wiki ijayo trh 14 ana graduate kanipigia simu juzi kanitia mkwara kweli kweli mazoezi magumu mara ooh nikirud watanikoma nlicheka sana.
sijui ile mikwara inatokaga wapi kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom