Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

nimeenda kuulizia vituo 3 vya polisi wananiambia nafasi za jeshi la polis hazijatoka au mnisaidie hizo mlizozisikia zipo mkoa gan mie nipo mara
mkuu si hazijatoka ni washagawana kama maindi ya msaada mkuu na rushwa. na kujuana vimetaaka kwnye kila sector
 
nimeenda kuulizia vituo 3 vya polisi wananiambia nafasi za jeshi la polis hazijatoka au mnisaidie hizo mlizozisikia zipo mkoa gan mie nipo mara
Hata kama zimetoka ila ni lazima ujibiwe hivyo nilimuuliza kijana fulani FFU mkoa fulani alinambia zipo mikoani bado hawajapanga vigezo vya wanaohitajika tulia kijana ikiwa tayari utajua ingawa unaweza kuzikosa
 
Kama una degree ya MD au engineering kuna habari njema kwako
 
Hey!! Guys,at any time,any day and any hour,from today Jkt will prounce usahil kwa wa kujitolea,so for those who need,stay turned.
 
Hivi ni kweli wanaweza kuchukua na makapuku toka mitaani,waliotoka shule kidato 4&6??
Mh apana ule mfumo wa kuchukua fresh from skul Tayar umezuiliwa kwaio iwe polis au magereza au vyombo vingine vya usalama Wanatukua wanachukua wahitimu wa jkt
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom