Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Daah sasa huyo wa operation alimaliza kweli course huyo si mshono ulifumuka..?
halafu kwa nini watu wengi wakienda Jeshini wanakuwaga na mikwara sana ya kuna mshkaji mmoja hivi tunapiga nae mazoezi ya kawaida kaingia depo mwakajana na wiki ijayo trh 14 ana graduate kanipigia simu juzi kanitia mkwara kweli kweli mazoezi magumu mara ooh nikirud watanikoma nlicheka sana.
sijui ile mikwara inatokaga wapi kwa kweli
Hahahahaha!! Anajiona yeye ndiye mwenye nchi,ila hii inatokana na ujasir unaojengwa ndani ya mtu, yan hata kama una moyo wa huruma au imani vip ukipita jeshi ni lazima ubadilike
 
Wilayani wanaangalia sana majina pamoja na vyeti,pia mnakimbizwa kidogo pia wana sort proffesion ambazo wanazitaka then mnakwenda katk ngaz ya mkoa huko sasa mnaweza bigwa oral enterview hivyo kani ni form six na kuendelea juu you must make an introduction in english language but kurudi chini ya
Daah.....coment yako mbona kwangu aionekani hadi mwisho.....???
Imeishia Form 6 na kuendekea wanafanya interview kwa englsh chini ya hapo.......??
 
Unajengwa kutokana na maovyo ovyo kama vile fatak,madoso,vasco dagama viboko,mbio za nyika,up up za sana kucheleweshwa kula sometimes,kwata pori na kadhalika.Na ndio mana wenye itikad kali za kidini huwa ni vigumu kuwakuta wanapenda jeshi.
 
Daah.....coment yako mbona kwangu aionekani hadi mwisho.....???
Imeishia Form 6 na kuendekea wanafanya interview kwa englsh chini ya hapo.......??
Form six,diploma,degree,masters na kuendelea hufanya interview kwa kuongea kingereza lakin darasa la saba na form four ni kiswahili isipokuwa form four hujaza form
Kwa kingereza.
 
Ronja ya moto kabisa....Orjolo matarajio ya kuapa ni tar 16 mwezi huu na hawa OP Magu matarajio ni tar 23 mwezi huu but nasisitiza kama hakutakua na as where.
Field Marshal Shida Ni Kwamba Huwa unakuja Kuwapa Vijana wa Watu Matumain Zen Baada Ya Tareh Uliyosema Unatoweka

Unaibuka Siku Nyingine Kabisa Na Story Tofaut Tofaut

Kuhusu Iyo UpDate Ni Kweri Kabisa Lakin Iyo Haifanyi Nafasi Kupatikana Kwa Hawa Vijana Wakujitolea Kumbuka Makambin Kuna Op Takriban 2 au 3 Ambazo zinaitaji Ajira Nje Ya Iyo Ambayo Inatarajiwa kuapishwa Tareh 16

Labda Labda Baada Ya Bunge Kupitisha Bajet ambayo Itakuwa mwez 7

Hapo Sasa Ndio Fungu Litoke Wapelekwe Katika kambi Usika Kwa sababu Ajira zilishatangazwa ila fungu Ndio Lilikuwa Bado

Matarajio Ni Kuanzia Hapa Ni Kuanzia Mwez Wa 7 Baada Ya Bajet Kupitishwa
 
kwa akili ya kawaida kabisa...kuna ma service wengi mnoo kwenye vikosi vya malenzi nikijumlisha na Op Magu basi zitakua OP 2 nzima hazina ajira yoyote pamoja na baadhi ya walioachwa kwenda kupiga orjolo...matarajio kuna kibanga hatari kitapigwa mwezi ujao ambacho watu wengi kuanzia OP kikwete watapiga kozi ya jw...baada ya kibanga hicho kwenda ndio jkt wanaweza wakawafikiria watu wapya wakujitolea ambao wanaweza kwenda december au september kuanza mafunzo.
Daaaaaaaahhhh Jamaaa Umeongea point Tupu Hapa

Nimekuelewa Sana Luten Kanal From JF
 
Hahahahaha!! Anajiona yeye ndiye mwenye nchi,ila hii inatokana na ujasir unaojengwa ndani ya mtu, yan hata kama una moyo wa huruma au imani vip ukipita jeshi ni lazima ubadilike
Kifup Jeshin watu Wanafundishwa Roho Mbaya Ndio Mana Wanajeshi wengi Wana Roho Ngum
 
Field Marshal Shida Ni Kwamba Huwa unakuja Kuwapa Vijana wa Watu Matumain Zen Baada Ya Tareh Uliyosema Unatoweka

Unaibuka Siku Nyingine Kabisa Na Story Tofaut Tofaut

Kuhusu Iyo UpDate Ni Kweri Kabisa Lakin Iyo Haifanyi Nafasi Kupatikana Kwa Hawa Vijana Wakujitolea Kumbuka Makambin Kuna Op Takriban 2 au 3 Ambazo zinaitaji Ajira Nje Ya Iyo Ambayo Inatarajiwa kuapishwa Tareh 16

Labda Labda Baada Ya Bunge Kupitisha Bajet ambayo Itakuwa mwez 7

Hapo Sasa Ndio Fungu Litoke Wapelekwe Katika kambi Usika Kwa sababu Ajira zilishatangazwa ila fungu Ndio Lilikuwa Bado

Matarajio Ni Kuanzia Hapa Ni Kuanzia Mwez Wa 7 Baada Ya Bajet Kupitishwa
Una maanisha bunge la bajeti lipi? Mbona kama ni bajeti ya wizara ya ulinzi teali imeshapitishwa tangu mwezi may..
 
Field Marshal Shida Ni Kwamba Huwa unakuja Kuwapa Vijana wa Watu Matumain Zen Baada Ya Tareh Uliyosema Unatoweka

Unaibuka Siku Nyingine Kabisa Na Story Tofaut Tofaut

Kuhusu Iyo UpDate Ni Kweri Kabisa Lakin Iyo Haifanyi Nafasi Kupatikana Kwa Hawa Vijana Wakujitolea Kumbuka Makambin Kuna Op Takriban 2 au 3 Ambazo zinaitaji Ajira Nje Ya Iyo Ambayo Inatarajiwa kuapishwa Tareh 16

Labda Labda Baada Ya Bunge Kupitisha Bajet ambayo Itakuwa mwez 7

Hapo Sasa Ndio Fungu Litoke Wapelekwe Katika kambi Usika Kwa sababu Ajira zilishatangazwa ila fungu Ndio Lilikuwa Bado

Matarajio Ni Kuanzia Hapa Ni Kuanzia Mwez Wa 7 Baada Ya Bajet Kupitishwa
Haswaa kaka,points tupu hizi mkuu big up.
 
Kwema wakuu,,? Naomba kuuliza mpaka uweze kuchaguliwa kwenda JKT kwa wale wa kujitolea ni vipimo gani unatakiwa upime ili uweze kuchukuliwa..? au ni watu wenye magonjwa gani ambao hawatakiwi na jeshi tofauti na UKIMWI..?
CC
melkiorysaranga
Ambiele Kiviele
sanchez255
Zahoro Uchwa
watajwa hapo juu na wengine mnaofahamu tafadhali naomba majibu yenu
Mkuu kwa kifupi ugonjwa wowote ule hautakiwi uwe physically fit kingine ile mikesha na mahovyo hovyo itakusumbua sana kama upo unfit imagine kwamba TPDF mkesha wiki 6~8 upo unfit huponi aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom