popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Hakuna aliyefanya usahili ila inasemekana kwamba wapo mbioni kufanya hivyo ndivyo nilivyoambiwaAkuna watu waliofanya usaili wa polisi mkuu
Hakuna aliyefanya usahili ila inasemekana kwamba wapo mbioni kufanya hivyo ndivyo nilivyoambiwaAkuna watu waliofanya usaili wa polisi mkuu
Yap wapo mbioni kufanya ivoHakuna aliyefanya usahili ila inasemekana kwamba wapo mbioni kufanya hivyo ndivyo nilivyoambiwa
Hivi ni kweli wanaweza kuchukua na makapuku toka mitaani,waliotoka shule kidato 4&6??Yap wapo mbioni kufanya ivo
Mkuu ivi mafunzo ya mgambo ni muda gani.... pia baada ya hayo mafunzo inakuaje?Sifahamu lini bt mi nasubiri hzo za mgambo tu nikapge.
Unapenda uwe police???Hivi ni kweli wanaweza kuchukua na makapuku toka mitaani,waliotoka shule kidato 4&6??
Ndiyo mkuu niunganishe basiUnapenda uwe police???
Tuheshimiane mimi na police wapi na wapi???Cc;mkorintoNdiyo mkuu niunganishe basi
Jkt hutangaza nafasi baada ya miaka mitatu walitangaza 2013 wakatangaza 2016 subiria 2019Habari ndugu wana jf
Kama kichwa cha habari kinavojieleza ningependa kuuliza kkuhusu nafasi za JKT za kujitolea mwaka huu zitatoka lini. Mwenye taarifa atujuze ili tujipange vizuri, ahsanteni sana
Kumbe hata uko kuna rushwa haaa si police tu duh ila akichukua police kelele uko jeshini kimya au uko imehalalishwaNakuambia ukweli mkuu ukiwa na laki saba keshi huwezi koswa chance ya Jakarta huo ndoo ukweli huamini wewe tumia njia halali utakuja kuniambia
ni kweli mkuu vijana wanazama mzigoni mwezi wa 7Huu utabiri wako kuna mtu alinambia ila hana uhakika
ndio mkuu ni kusoma na mazoezi tu mpk miezi 9 iisheEeeh,,,,kumbe wanasota vya kutosha
Basi mkuu yaisheTuheshimiane mimi na police wapi na wapi???Cc;mkorinto
Mkuu nifanyeje ili nami niingie huko???ni kweli mkuu vijana wanazama mzigoni mwezi wa 7
Wew Kweri Pimbi Hakuna Hata Unalo lijuaJkt hutangaza nafasi baada ya miaka mitatu walitangaza 2013 wakatangaza 2016 subiria 2019
Relax kijanaBasi mkuu yaishe
mkuu mimi sijui ila nazani nafasi zinapatikana kituo cha police ngoja nimwite mweshimiwa aje akusaidie Mwigulu NchembaMkuu nifanyeje ili nami niingie huko???
Eeeeh,,,,,,kituo cha police jamaa nikiwauliza si nitapata vitasa vya kutosha maana wanatisha sanamkuu mimi sijui ila nazani nafasi zinapatikana kituo cha police ngoja nimwite mweshimiwa aje akusaidie Mwigulu Nchemba
NduguMkuu nifanyeje ili nami niingie huko???
Subiria kama wakiwachukua na mitaani,mashuleni,vyuoni utajua sababu watatangaza ingawa uwezekano wa kuchukua huko ni mdogo kipaumbele chao ni jktMkuu nifanyeje ili nami niingie huko???