middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
Duuhh bongo jeshi ndo kimbilio .....
Kwa level hiyo unaruhusiwa kuingia ili mradi usizidi 35 years hii ni kuanzia degree nakuendeleaBachelor Veterinary medicine
ha ha ha...hatarDuuhh bongo jeshi ndo kimbilio .....
vip00Tafadhali naomba kuuliza wana JF, hivi upande wa mifugo jeshini, mean kuna vitengo vya mifugo kwa mtu aliesomea udaktari wa mifugo?
ungefafanua vizur mkuu nafunzo yap....usail jkt au mafunzo jwWadau vp nasikia kuna mafunzo yanaanza mwezi wa tano kweli ?
mbona anaajir sasa sema cyo kwa wing.. ..yy kma yy ameamulu madoctor kma 200 waajiliwe pia aliamulu vjana waliopga pared weng wao mgambo waajiliwe ajira zpo sema tusubil bajet ipte tuone itakuwaje ajira zpo ila ni chache sana labda hyoo miaka miwil ya mbisho ya awam yake ndo ataachia ajira kwa wingiVijana tufikilie vitu vingine vya kufanya bila hvyo mtapoteza wachumba zenu bure kwa kukosa pesa au kuwa sababishia majaribu mazito, muda unaenda mbio tafuta chochote unacho kijua kupata pesa. Besti yangu mmoja anuwezo mzuri wakutambua mambo japo sio kimazingaombwe yeye akisema marachache sana kukose, aliniambia mwaka mwezi wa kwanza raisi hana mpango wa kuajiri kabisa labda kwakulazimika saana.
Yeye ataajiri miaka miwili ya mwisho ya awamu yake ya kwanza.
Zaidi nikutafuta mashirika binafsi tu ama wewe mwenyewe kujiongeza tu.
Kama unasubira isubirie heri.
usail kwanza koz baadae.. usail unaweza ukaanza mwez was 5 tarehe 9Great thinkers naomba kuuliza kuna kozi mpya ya JKT inaanza karibuni ?
Hakuna kitengo kinachokosekana kule ila pia itategemea umepangiwa kikosi gani?Tafadhali naomba kuuliza wana JF, hivi upande wa mifugo jeshini, mean kuna vitengo vya mifugo kwa mtu aliesomea udaktari wa mifugo?
Jw mkuu!ungefafanua vizur mkuu nafunzo yap....usail jkt au mafunzo jw
Na mafunzo yataanza lini mkuu?usail kwanza koz baadae.. usail unaweza ukaanza mwez was 5 tarehe 9
ronja umepata WAP mkuuJw mkuu!