20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Jeshi ulijui. ungekuwa hata askar mdgo hata junior NCO ungejua cha kusema. kuwa open minded.. usiseme usiyo jua nje ndanHaya we ishi kimazoea tu ila tambua huu ni utawala wa Rais mwingine.
Jeshi ulijui. ungekuwa hata askar mdgo hata junior NCO ungejua cha kusema. kuwa open minded.. usiseme usiyo jua nje ndanHaya we ishi kimazoea tu ila tambua huu ni utawala wa Rais mwingine.
jamaaa hajajua ishu zilivyo, ila point of correction na kwako pia, sometimes kuna kuwa n special needs huwa wanafanya esp kwa madaktari but very rarey........ila huyo mchiz unaye mpa ABC hajui kuhusu jeshi anahadithiwa nae ana manifest kitu alichosikiaDogo Unachanganya mambo Hakuna Mtu Anae weza Toka Uraiyan Kwenda kupiga Koz Ya TPDF Moja kwa moja
Labda Jeshi Litangaze Kuwa Kuna Uhitaji wa Taaluma Flan Na ni Ya haraka Kama Vile Madereva, Madaktali, na wengine Kadha wa Kadha
Ninacho Kiongea Mim Ni Kuwa Mtu Anaweza Tafutiwa Form Ya JKT Na kwenda Kuripot Sawa Na wale Walio Fanya Usahili Wilayan Na Mikoan
Hii Ndio Form Inayoitwa Baba Kantuma Iyo Ya Kwenda TPDF Moja Kwa Moja Ilishasitishwa Zaman Sana
Nafaham Kama Kuna Special Needjamaaa hajajua ishu zilivyo, ila point of correction na kwako pia, sometimes kuna kuwa n special needs huwa wanafanya esp kwa madaktari but very rarey........ila huyo mchiz unaye mpa ABC hajui kuhusu jeshi anahadithiwa nae ana manifest kitu alichosikia
Hahahahaaaa,,,,,tena niliyetukuka ila mkuu nipo serious kwa nilichomuambia jamaa ila ndio hivyo mmempoteza asinisaidieKweli we popoma
Kwanini wapenda uwe polisi na sio askari wengine mfano magereza,jw n.k tuanzie hapo dogo?!Iiiih,,,,,mkuu naomba uniunganishe niende CCP mwez 7
pamoja nduguuNafaham Kama Kuna Special Need
All In All Shukran Kwa marekebisho
orijolo koz ip kaka? Jw au?Ndio kaka,walikuwa wanasubiriwa vijana wa Orijoro Arusha wamalize course,thus they have done it.
upo vizur boiNa kitendo cha mujibu wa sheria kutangulia kisiwatishe kwan siku zote huwa hivyo,kuna wakati mwingine hukaa hadi wiki tatu then wakujitolea huwasili ata hivyo mafunzo ya mujibu na kujitolea ni tofaut katika muda hivyo huwa hawachanganywi.pia katika mkazo wa mafunzo huwa tofauti,kwa mujibu hulegezwa kidogo na huwa ya haraka haraka ila kwa wa kujitolewa ni fataki had kufarakana.
hyo haita wezekana yan ndgu wa mabeo au mwamnyange,au brigedia,Kanal asote kwenye usail hilo futa anatwanga maji kwenye kinu...jeshi haliingiliwi kihvyo ndo maana vyet feki jeshini hawakuguswaBa
Baba kanituma has been canceled by our president Magufuli for the fact that:vijana weng wa kijijini na wasio na baba au ndugu jeshini hukosa nafasi ingali wana vigezo na sifa zote za kuwa maaskari wazuri,so baba kanituma pia imeongeza watu wasio na sifa kambini utakuta mwanajeshi ana matege nawengne wana magonjwa ambayo hayaonekani kama vile vifua na kadhalika so Rais wetu wa sasa hataki mambo haya kwahiyo watu wote wanatakiwa waingie jkt kwa halali ambayo ni interview kwahyo labda mambo hayo yafanyike hulo katk ngaz ya wilaya na mkoa.
lakin unaweza kwenda TPDF kma umepitia Jkt mujibu ukitokea mtaan lakn ukipa wa kukushika mkonoDogo Unachanganya mambo Hakuna Mtu Anae weza Toka Uraiyan Kwenda kupiga Koz Ya TPDF Moja kwa moja
Labda Jeshi Litangaze Kuwa Kuna Uhitaji wa Taaluma Flan Na ni Ya haraka Kama Vile Madereva, Madaktali, na wengine Kadha wa Kadha
Ninacho Kiongea Mim Ni Kuwa Mtu Anaweza Tafutiwa Form Ya JKT Na kwenda Kuripot Sawa Na wale Walio Fanya Usahili Wilayan Na Mikoan
Hii Ndio Form Inayoitwa Baba Kantuma Iyo Ya Kwenda TPDF Moja Kwa Moja Ilishasitishwa Zaman Sana
we mwelewa sana Mkuu...hv jwtz c unaweza kwenda kama ukitokea mtaan AF umepitia Jkt mujibu ila ukiwa na wakukushika mkonoHahahaaaaa,,,,kula tano za kijeshi mwanangu
we dogo unapalamia tuu watu utatapeliwa boi...fatilia taratibu ndgu mfate MTU unaehic anaweza kukusaidia mpange usikurupukeIiiih,,,,,mkuu naomba uniunganishe niende CCP mwez 7
Mbona unanitisha kwa hy cc maskini na hatuna marefa csahau kabisaaaaa kwenda jkt?Usimtishe kwa wataalam wetu na vifaa wanavyotumia hawawezi kumtambua endapo alizaa na kesha achisha mtoto siku nyingi zilizopita.
I speak what I know 100% usiniulize Mimi ni nani na usiniulize nimejuaje.
Jambo ambalo ni gumu ni kupata nafasi ya kuingia jkt, huo ni mtihani sana, andaa Pesa na mtu(refa)
Kaka co kwamba unawaelekeza jwtz coz jkt ipo mikocheniMkuu, jeshini kwa sasa kuna figisu sana na JKT kwa kujitolea baada ya mafunzo unakaa 2yrs kusubiri jina.
Depo la mwisho mwaka jana lilikuwa na figusu sana sijui utawala mpya wa Mabeyo.
Kiufupi elimu yako ni kubwa na very marketing unaweza kupta ajira na ukasahau jeshi.
However nakusapoti sana ukiingia jeshini fani yako ni dili sana
gender yako inatakiwa sana jeshini nowdays.
NB
Kama upo Dar nenda makao makuu kabla hayajahia Dodoma. Shuka Muhimbili njia kama unaenda masaki barabara ya pili kutoka ile ya Don Bosco ifuate kuna geti la nyuma pale waambie wale was mlangoni hawana noma watakuelekeza kwa muajiri mkuu was jeshi ni kanali mmoja hivi hana shida kama wanahitaji accountant atakuweka ktk waiting list. Hii ilishamsaidi mtu wangu was karibu try this
Hahahahaha!! Kaka m nishapita huko kitambo sana tangu mwaka 2013 guess who am i now hahahaha!!Jeshi ulijui. ungekuwa hata askar mdgo hata junior NCO ungejua cha kusema. kuwa open minded.. usiseme usiyo jua nje ndan
Ngaz ya wilaya coz here is a starting point ya kwenda mkoa.Wakuu
mimi naomba kuulza kidogo....
Hivi WILAYANI na MKOANI ni wapi kigumu kwa vijana wa kujitolea J.K.T......??
msaada pleas
Sasa nackia ukpta wilayani....mkoani yena kunakuwa na mchujo......Ngaz ya wilaya coz here is a starting point ya kwenda mkoa.