Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Asiwadanganye watu jeshini kujuana kupo hasa kama una ndugu afisa wa jeshi mkubwa if una vigezo inakuwa rahisi kupita ....all in all nawatakia kheri mnaotaka upolisi ila Mimi binafsi hapana bora jwtz
Haya we ishi kimazoea tu ila tambua huu ni utawala wa Rais mwingine.
 
Kaka usikalili maisha hata hapo nyuma kuna vijana wengi walikuwa wanarudishwa home mara baada ya kumaliza mafunzo ya jkt pia kulikuwa na utaratibu wa kuajiri vijana toka mtaani yani wasio pitia mafunzo yoyote ikiwemo jkt waende jwtz,police na kadhalika ila kwa sasa utaratibu huo umefutwa,hakuna kabisa vijana wote huajiriwa kutoka jkt,ukikuta mtu kaajiriwa kutoka mtaani bas ujue huyo kashapitia mafunzo ya jkt na kadhalika.Pia kwa mchakato wa vyeti feki ndio kabisa huwez kwenda kiholela kama zamani ni lazima vyet vichunguzwa na utaratibu huo utakuwa katk ngaz ya wilaya had mkoa,hivyo kutakuwa na mashine maalumu za kuhakiki vyet kama ilivyokuwa katka waajiriwa wengine.
Dogo Unachanganya mambo Hakuna Mtu Anae weza Toka Uraiyan Kwenda kupiga Koz Ya TPDF Moja kwa moja

Labda Jeshi Litangaze Kuwa Kuna Uhitaji wa Taaluma Flan Na ni Ya haraka Kama Vile Madereva, Madaktali, na wengine Kadha wa Kadha

Ninacho Kiongea Mim Ni Kuwa Mtu Anaweza Tafutiwa Form Ya JKT Na kwenda Kuripot Sawa Na wale Walio Fanya Usahili Wilayan Na Mikoan

Hii Ndio Form Inayoitwa Baba Kantuma Iyo Ya Kwenda TPDF Moja Kwa Moja Ilishasitishwa Zaman Sana
 
Hata hivyo uhakiki wa vyet fek haujapita kwa maaskari kwa ajili ya usalama wa nchi kwa kitendo cha kuachisha askar kaz kwa kigezo cha vyeti fake kingeweza kuchafu utulivu wa nch ikiwemo kuongezeka kwa matukio ya ualifu kama vile ujambaz na kadhalika.hivyo wenye vyet fake jeshini watabaki kuwa huko na hairuhusiwi tena watu kuingia tu jeshini kwa kigezo cha kusema ni mtoto wa mkubwa au vinginevyo
Na ndio Mana Nikakwambia Wew Hujui Kitu Iv Vitu Unavisikia Tuu Katika Migahawa ya kahawa

Jeshin Kuna Filigisu Filigisu Zaid Ya Uzijuazo Dogo
 
Dogo Unachanganya mambo Hakuna Mtu Anae weza Toka Uraiyan Kwenda kupiga Koz Ya TPDF Moja kwa moja

Labda Jeshi Litangaze Kuwa Kuna Uhitaji wa Taaluma Flan Na ni Ya haraka Kama Vile Madereva, Madaktali, na wengine Kadha wa Kadha

Ninacho Kiongea Mim Ni Kuwa Mtu Anaweza Tafutiwa Form Ya JKT Na kwenda Kuripot Sawa Na wale Walio Fanya Usahili Wilayan Na Mikoan

Hii Ndio Form Inayoitwa Baba Kantuma Iyo Ya Kwenda TPDF Moja Kwa Moja Ilishasitishwa Zaman Sana
Hukunielewa vzur ww,m sijasema hiyo ya kwenda TPDF moja kwa moja,soma tena vzuri utaelewa.
 
Daaaaaahh Wee Dogo hata Sijui Unatokea Kijiji Gan mana Ni Mbish kishenz
Mm ni dawn town kitambo,hivyo jiulize mm natokea jiji gani na sio kijiji,kwa kukusaidia tu m ni mzaliwa wa Dar es salaam pande za Temeke pale.Na ninacho ongea nina uhakika nacho na sio nabishana tu.
 
Haya we ishi kimazoea tu ila tambua huu ni utawala wa Rais mwingine.
Rais ataishia huko huko kwa ccm wenzie na sio jeshini
Huku kunataratibu zao na kumejaa rushwa na kujuana sana kuna jamaa aliuziwa form ya jkt kwa laki tano na mwenzie alifanyiwa mpango akaingizwa bure yaani Kama hauna channel au mtu wa kukushika mkono jeshini kuingia ni kazi kweli kweli
 
Mm ni dawn town kitambo,hivyo jiulize mm natokea jiji gani na sio kijiji,kwa kukusaidia tu m ni mzaliwa wa Dar es salaam pande za Temeke pale.Na ninacho ongea nina uhakika nacho na sio nabishana tu.
Poa Endelea Kubisha Kuwa Hakuna Form Za Baba Kantuma

Mwaka Jana Kuna Dogo Mmoja Nikimwambia Piga kote Kote Wilayan Mkoa Na Baba Kantuma

Kwa Bahat Mbaya Huko Wilayan Na Mkoan Mambo Yakuja Kubuma Nikamwambia Subir Baba Kantuma Nw Yupo Kanembwe Anasubili Kuapa Tuu

Kingine Usicho Kijua Hakuna Sehem Ngum Kama Wilayan

Wilayan Kama Hauna Mtu Wa Kukishika Mkono Hata Mkoa Haufiki

Na Unaweza Ukawa unajuaana na mtu Bado Akakupiga Chin

Ona Tuu Watu Wamevaaa Kombat

Nakumbuka Mwaka Jana Kulikuwa na wadau kama nyinyi walikuwa wanaulizia sana hiz Nafasi

Kama

MamaFacebook

Field Marshal

Na wengine wengi Tuu wengine nshawathahau
 
Rais ataishia huko huko kwa ccm wenzie na sio jeshini
Huku kunataratibu zao na kumejaa rushwa na kujuana sana kuna jamaa aliuziwa form ya jkt kwa laki tano na mwenzie alifanyiwa mpango akaingizwa bure yaani Kama hauna channel au mtu wa kukushika mkono jeshini kuingia ni kazi kweli kweli
Bora Na wee Umekuja Kutoa shuhuda zako Hapa mana Hili Jamaa Ni libish Kinouma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom