Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Kumbe hata uko kuna rushwa haaa si police tu duh ila akichukua police kelele uko jeshini kimya au uko imehalalishwa
Kaka uko bahati pia inamatter watu wanaonga mbk 2m na bado wanakosa kwaio usitegemee sana rushwa jaribu kufata utaratibu na kujarbu mlango wa nyuma
 
mkuu si hazijatoka ni washagawana kama maindi ya msaada mkuu na rushwa. na kujuana vimetaaka kwnye kila sector
Siki hiz hakuna mambo ya kugawana form au baba kanituma wala kununua form,ila ni mwendo wa usahili kuanzia ngaz ya wilaya hadi ngaz ya mkoa na ukipenya katk usail ni moja moja kwa moja hadi jkt na hakuna kurudi home,hivyo bhasi labda ukahonge katka interview.
 
Na kitendo cha mujibu wa sheria kutangulia kisiwatishe kwan siku zote huwa hivyo,kuna wakati mwingine hukaa hadi wiki tatu then wakujitolea huwasili ata hivyo mafunzo ya mujibu na kujitolea ni tofaut katika muda hivyo huwa hawachanganywi.pia katika mkazo wa mafunzo huwa tofauti,kwa mujibu hulegezwa kidogo na huwa ya haraka haraka ila kwa wa kujitolewa ni fataki had kufarakana.
 
Siki hiz hakuna mambo ya kugawana form au baba kanituma wala kununua form,ila ni mwendo wa usahili kuanzia ngaz ya wilaya hadi ngaz ya mkoa na ukipenya katk usail ni moja moja kwa moja hadi jkt na hakuna kurudi home,hivyo bhasi labda ukahonge katka interview.
Ngoja Tuone
 
Hilo Napinga Kwa Asilimia Mia Mojaaaa Jombaaaaa

Baba Kantuma Unaijua inakuwaje.....??

Izo Form Ambazo Unasema Zinanunuliwa unajua zinakuwaje....??

Izo Form Haziwez Kukosekana Hata Kidogo Mwaka Jana Kuna Watu Walikuwa wanabisha Baada Ya Kutangazwa nafasi Watu Walijionea
 
Ngoja wajionee Baba kantuma itakavyofanya kazi.. Nafasi zipo mbioni kutoka kuanzia sasa
 
Ba
Hilo jambo halikosekani baba kanituma zitakuwepo
Baba kanituma has been canceled by our president Magufuli for the fact that:vijana weng wa kijijini na wasio na baba au ndugu jeshini hukosa nafasi ingali wana vigezo na sifa zote za kuwa maaskari wazuri,so baba kanituma pia imeongeza watu wasio na sifa kambini utakuta mwanajeshi ana matege nawengne wana magonjwa ambayo hayaonekani kama vile vifua na kadhalika so Rais wetu wa sasa hataki mambo haya kwahiyo watu wote wanatakiwa waingie jkt kwa halali ambayo ni interview kwahyo labda mambo hayo yafanyike hulo katk ngaz ya wilaya na mkoa.
 
Ah ah ah ah aha ha ha ah ah ah Yani Inaoneka Upo Kijijin zen Mwenyekiti Wa Mtaa Ndio Huwa anawapa Taarifa za Jkt Ndugu

Izo Fact Ulizotoa Za kitoto Sana

Ngoja Nikupe Ronja Kidogo Dogo

Jeshin Kuna Wakubwa ambao Hupewa Nafasi Za Upendeleo Izo Nafasi Huwapa Maskari Wadogo Wadogo Ambao Wanavyeo Vidogo Hawa Ndio Huwa wanauza Izo Form

Iv Kwa Akili Yako Mtt Wa Mabeyo, mamunyange, Kaniki, Au Mtt Wa Shimbo Wataenda Wilayan Kwa usahili

Jeshi Lina Filigisu Filigisu Usizozijua Dogo
 
Kaka usikalili maisha hata hapo nyuma kuna vijana wengi walikuwa wanarudishwa home mara baada ya kumaliza mafunzo ya jkt pia kulikuwa na utaratibu wa kuajiri vijana toka mtaani yani wasio pitia mafunzo yoyote ikiwemo jkt waende jwtz,police na kadhalika ila kwa sasa utaratibu huo umefutwa,hakuna kabisa vijana wote huajiriwa kutoka jkt,ukikuta mtu kaajiriwa kutoka mtaani bas ujue huyo kashapitia mafunzo ya jkt na kadhalika.Pia kwa mchakato wa vyeti feki ndio kabisa huwez kwenda kiholela kama zamani ni lazima vyet vichunguzwa na utaratibu huo utakuwa katk ngaz ya wilaya had mkoa,hivyo kutakuwa na mashine maalumu za kuhakiki vyet kama ilivyokuwa katka waajiriwa wengine.
 
Hata hivyo uhakiki wa vyet fek haujapita kwa maaskari kwa ajili ya usalama wa nchi kwa kitendo cha kuachisha askar kaz kwa kigezo cha vyeti fake kingeweza kuchafu utulivu wa nch ikiwemo kuongezeka kwa matukio ya ualifu kama vile ujambaz na kadhalika.hivyo wenye vyet fake jeshini watabaki kuwa huko na hairuhusiwi tena watu kuingia tu jeshini kwa kigezo cha kusema ni mtoto wa mkubwa au vinginevyo
 
Asiwadanganye watu jeshini kujuana kupo hasa kama una ndugu afisa wa jeshi mkubwa if una vigezo inakuwa rahisi kupita ....all in all nawatakia kheri mnaotaka upolisi ila Mimi binafsi hapana bora jwtz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom