Nafasi za JKT zinatoka lini?

Too difficult kwa sababu hautakiwi uwe umezaa na Madaktari Kutoka hospital ya Lugalo ndo watagundua kua wewe ni Mmama Jeshi ni kwa Wasichana tuu.
Usimtishe kwa wataalam wetu na vifaa wanavyotumia hawawezi kumtambua endapo alizaa na kesha achisha mtoto siku nyingi zilizopita.
I speak what I know 100% usiniulize Mimi ni nani na usiniulize nimejuaje.

Jambo ambalo ni gumu ni kupata nafasi ya kuingia jkt, huo ni mtihani sana, andaa Pesa na mtu(refa)
 
Shame on you hadi Leo unashindwa kugundua mwanamke aliyezaa hata kwa macho tuu una umri gani Mzee cause screening huwa inafanyika wakiwa uchi na wanaume hufanyika wakiwa Uchi sasa hadi Leo hujawahi kukutana na binti aliyezaa na ukamgundua si vigumu kumtambua mwanamke aliyezaa kama mwanaume aliyezaa au Kuoa.
 
There nothing like that kwa wataalam wetu, kama unaongelea muonekano wa matiti na tumbo katika usaili unaongea uongo.

Najua taratibu za jeshi A to Z mkuu, ask any question concerning to majeshi kuanzia jkt,tpdf,polis na magereza.
 
What I have heard,the vacancies for National service, will be opened in early February, let's keep in touch via this thread,we all patriotic, and we are ready to save our national, I guss it will be soon done as long as there are newly expected camps, that will be opened soon,
 
Back
Top Bottom