Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Asante sana, mkubwa naomba unisaidie kabisa ili nikawe mmojawapo ya wanajeshi wa JWTZ miaka ijayo ili nilinde, kufanyia kazi na kuendeleza taifa langu zuri, la Tanzania maana ntajuta km sintokuwa mmojawapo ya mjeshi wake (bwana Wa majeshi).
Nakusubiri siku moja upasue tofali kwa kichwa
 
So wakati wa kuchaguliwa kujiunga na police, jwtz, usalama, zimamoto wanakuchagua wenyewe au wewe ndio unachagua...?
 
Nakusubiri siku moja upasue tofali kwa kichwa
Ahaaah, sawa kaka.Ila hata km nchi imeendelea vp ! Iwe Na zile drones zinazokuwa hazina watu au hata iwe Na vifaa vya kisasa kabisa vya kjeshi, bado matumizi ya wanajeshi- private hadi komandoo, yanahitajika ktk operesheni mbalimbali za kijeshi.Uganda, na Marekan pamoja Na kuwa Na vifaa vya kisasa kwa miaka ileeee, bafi zilipigwa Na Tanzania -Uganda Na Vietnam Na Somalia (USA).kwa hyo vita pia ni morali ya kijesh km watukufu makimandoo wetu Wa JWTZ walivyo Na uzalendo uliotukuka pia.kwa hyo duo vzr kubeza wanapovunja tofali kifuan, kukunja nondo kwa mkono, n.k
 
kwa wale wanaotaka kujiunga na jeshi LA police nafasi zao sishatoka wafanye application jinsi ya kujiunga nenda Google au kituo cha police kilichokaribu na ww
 
kwa wale wanaotaka kujiunga na jeshi LA
police nafasi zao sishatoka wafanye
application jinsi ya kujiunga nenda Google
au kituo cha police kilichokaribu na ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom