Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Halikalikii kwa maana gani mkuu ?

Kadiri miaka inavyosonga ndo taratibu znavobadilika mkuu..

coz miaka ya juz kat kama 2014 kipind kama hiki raia wapo either mkoani au wilayan ama wameshaatend vipimo ila naona mwaka huu mchakato umelate haupo "Static"

Ila kwa tetes za kunyampia nyampia mzigo utadondoka kat ya tar 15-20 chek na notes board za wilayan mzee..!
 
Mkuu hamna update mpaka sasa hivi ukiacha hawa kidato cha sita, labda baada ya hawa au haileweki ??
 
Mi nimepita kwenye notes board za kata ambazo zipo jiran yangu nimekuta tangazo LA mafunzo ya mgambo nikafikiria sana nikaona kama mwaka huu hakutakuwa na jkt .BT vuten subra kwani hlo tangazo LA mgambo ni kwa kata zote za temeke.
 
hiz nafasi za jkt mpk lini sasa?
 
Sifahamu lini bt mi nasubiri hzo za mgambo tu nikapge.
 
Nafasi za JKT Bado sana epukeni matapeli, vikosini wapo vijana wa kidato cha sita wanaopiga OP ya kwamujibu na vijana wanaopiga OP uzalendo, Hivyo basi bado sanaa hususani bajeti imepitishwa juzi lakini bado fungu alijatoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom