nahic tarehe 9 mwez wa 5wakuu usejili wa jkt unaaza lini ama mwezi ngan tulitengemea mwezi huu ila hadi sasa sijapata habari yoyote,
nahic tarehe 9 mwez wa 5wakuu usejili wa jkt unaaza lini ama mwezi ngan tulitengemea mwezi huu ila hadi sasa sijapata habari yoyote,
mafunzo inategemea bajet huska pil kule kuna watu weng bado hawajajiliwa il kule nafac iwepo ya watu kwenda inaweza ikawa hata mwez wa 12 tenaNa mafunzo yataanza lini mkuu?
Mmmh ...labda ulikua na haraka Mkuu ukitulia lete ronja.Nmeona dogo fulani anasoma fomu ya jkt 2017 ya baba kanituma, nilikua haraka sikpata muda kuisoma vzr! Nikirudi maeneo huska ntaisoma vzr ila kasema hawajatangaza za jumla ila hiyo ni ya Baba kanituma!
Kwa ma service au watu gani.Jw mkuu!
Dah mbali Mkuu nilidhani karibuni coz nina taaluma ila kukaa mtaani pagumu mkuumafunzo inategemea bajet huska pil kule kuna watu weng bado hawajajiliwa il kule nafac iwepo ya watu kwenda inaweza ikawa hata mwez wa 12 tena
hamna hao ni service man ambao weng wao wapo makambin walio hitimu mafunzo ya awali ya kijeshiService ukimaanisha taaluma ama?
kikubwa tuone itakuwaje maana jeshi halikalilikiDah mbali Mkuu nilidhani karibuni coz nina taaluma ila kukaa mtaani pagumu mkuu
Wapya mkuu, kwani kuna ma service amabao bado hawajaajiriwa ?hamna hao ni service man ambao weng wao wapo makambin walio hitimu mafunzo ya awali ya kijeshi
Mkuu jitahidi utufungulie katika hiliNmeona dogo fulani anasoma fomu ya jkt 2017 ya baba kanituma, nilikua haraka sikpata muda kuisoma vzr! Nikirudi maeneo huska ntaisoma vzr ila kasema hawajatangaza za jumla ila hiyo ni ya Baba kanituma!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mujibu wa sheria.Mnaleta uraia,mtaliwa mtonyo na kihangaiko huendi
wapo weng sana....ndo tunataka tujue hao wanaoenda koz ni watu ganWapya mkuu, kwani kuna ma service amabao bado hawajaajiriwa ?
Ko mwenye UKIMWI asahau kuingia jeshi ht kwa mujibu hajunaKigezo kikubwa ni damu....hasa hyo UKIMWI n.k
Sahau kabisaKo mwenye UKIMWI asahau kuingia jeshi ht kwa mujibu hajuna
mujbu anaenda atawekwa kwenye kund LA unfitKo mwenye UKIMWI asahau kuingia jeshi ht kwa mujibu hajuna