Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Ndio mm ushahidi ninao kuna dogo ni private nw alienda mujibu 2013 alivyotoka apo akakosa nafasi chuo ikabidi aingie tena JKT kujitolea 2014 operation muungano na alikubaliwa frsh tuu uyo dogo nw ni private yuko kwnye harakati za kwenda cadet soon anauvaa uwafisa.....
uyo c alkosa chuo sasa iweje aende cadet wakat inaonyesha hakutmiza vgezo vya kusoma degree... IPO VP hyo
 
Na walioharisha kozi kwa mujibu wa sheria ili waende chuo wanaweza kurenew mkataba baada ya kumaliza chuo au ni mpaka Tangazo litoke tena?
Wadau hili swali majib yake yako vip maana nasubir jib la swali hili
 
Wadau hili swali majib yake yako vip maana nasubir jib la swali hili
hapo nazan imekula kwako labda uende ya kujitolea kma bado unataka jeshi coz awamu ni mbil tuu...kma hukwenda zote we soma tuu ndgu na kma unapenda jeshi nenda kwa kujitolea.......au uende makao makuu Jkt watakpa maelekezo mazut tuuu
 
Wanataka kuanzia darasa la saba mpaka degree ila kwa darasa la saba mpaka form six umri ni miaka 18-23 but kwa diploma na degree umri ni miaka 18-30
Mi Nina 25 std VII Ila professional ni driver Chet nnacho na leseni n valid
 
Nakuambia ukweli mkuu ukiwa na laki saba keshi huwezi koswa chance ya Jakarta huo ndoo ukweli huamini wewe tumia njia halali utakuja kuniambia
Usimpotoshe mwenzio tena walohonga ndio waloishia kuliwa pesa zako cha msingi aingilie wilayani asiingilie mkoani competition ni kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom