Nafasi za JKT zinatoka lini?

Nafasi za JKT zinatoka lini?

Mkuu nachokuambia huamini? Subiri wengine waje watakuambia. Je,wajua precadate wote 162 wametunzwa tu pale makao makuu bila kupelekwa monduli kumalizia kozi?
Ukipata jibu relax.
Mhh hiyo precadet imemalizika lini?
 
Ndio mm ushahidi ninao kuna dogo ni private nw alienda mujibu 2013 alivyotoka apo akakosa nafasi chuo ikabidi aingie tena JKT kujitolea 2014 operation muungano na alikubaliwa frsh tuu uyo dogo nw ni private yuko kwnye harakati za kwenda cadet soon anauvaa uwafisa.....
kwahyo 4m 6 akiwa na chet tu anaenda cadet bro chiko
 
Siyo akiwa na cheti tu, inatakiwa awe na cheti chenye sifa ya kuendelea na digrii
 
Sawa je kwa form six mwenye ufaulu wa dv1 au dv2 na diploma mwenye upper second class au first class akienda huko
Currently kwa fom 6 huwez kwenda cadet labda wale wa mahitaji maalum mfano jeshi likihitaj form 6 science PCM, PCB au CBG kwa ajili ya kozi maalum.....ila cjajua kwa diploma Ndugu
 
N
Currently kwa fom 6 huwez kwenda cadet labda wale wa mahitaji maalum mfano jeshi likihitaj form 6 science PCM, PCB au CBG kwa ajili ya kozi maalum.....ila cjajua kwa diploma Ndugu
imekuerewa mkuu maana watu tunapotoshana tu huku mutaani
kuwa 4m6 mwenye ufaulu mzuri ni cardet zn dploma mwenye ufaulu mzuri naye pia ni cardet moja kwa moja
 
N

imekuerewa mkuu maana watu tunapotoshana tu huku mutaani
kuwa 4m6 mwenye ufaulu mzuri ni cardet zn dploma mwenye ufaulu mzuri naye pia ni cardet moja kwa moja
Degree kibao zimejaa jwtz ila form 6 wakiwa na special case na wew hapo Sawa utaenda kozi
 
Mkuu vipi kuhusu kujitorea mwaka huu nafasi unahisi zitatoka mwezi gani
maana waliopo kozi wanamaliza may 27
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom