Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

Kama ni hivyo sabuni iwe nyingi sana kiasi kwamba maji yenye sabuni iliyolowekwa uyatumie hayo hayo mpaka una maliza kufua.

Ukisema utumie sabuni ingine kati kati ya kufua ndo hapo itabidi usubirie lisaa uanze kufua.hapo mori inakata sasa.
Maji ulio loekea nguo ndo hayo hayo unafulia na sabuni ulio loekea nguo ndo hio hio unafulia afu....!
 
Dah sasa mkuu kama ninanguo kumi manake nguo 1 niloweke kwa nusu saa.kwa sababu kila nguo moja au mbili lazima nitumie au niloweke sabuni mpya..

Kwa hyo mfano..

Nguo 10 x 30dk =300dk
300dk nazitumia kwa ajili ya kuloweka sabuni tu.

Hapo tuchukulie kila nguo natumia dk 10 manake ni kuwa
Nguo 1=10dk
nguo 10=x
Manake dk 100 tu za kufua.

100dk za kufua + 300dk za kuloweka = 400 dk.

400 dk gawa kwa 60.

Kwa maana nguo kumi nazifua kwa masaa 6 mkuu kwa ajili ya ulowekaji kukwepa mapovu.

Mkuu hapo kuna anayefanya hivyo kweli mkuu?
Kumbe hata kufua hujui?
 
Pa 1 mkuu nimekusoma vizuri.

Dogo nadhani alikuwa kwenye utani utani.
Me sijaongelea ulaini,ila umejielezea sana ...sometimes hawa watoto sio wakuwajibu wanapoongea vitu vya kipuuzi..

Kuna comments na post zako huwa nazikubali sana,
 
Dah sasa mkuu kama ninanguo kumi manake nguo 1 niloweke kwa nusu saa.kwa sababu kila nguo moja au mbili lazima nitumie au niloweke sabuni mpya..

Kwa hyo mfano..

Nguo 10 x 30dk =300dk
300dk nazitumia kwa ajili ya kuloweka sabuni tu.

Hapo tuchukulie kila nguo natumia dk 10 manake ni kuwa
Nguo 1=10dk
nguo 10=x
Manake dk 100 tu za kufua.

100dk za kufua + 300dk za kuloweka = 400 dk.

400 dk gawa kwa 60.

Kwa maana nguo kumi nazifua kwa masaa 6 mkuu kwa ajili ya ulowekaji kukwepa mapovu.

Mkuu hapo kuna anayefanya hivyo kweli mkuu?
Nadhani hukunielewa hapo.

Logic hapo ni sabuni ikae kwenye maji sio chini ya dk 30 ama 1hour.

Unaweza kuloweka sabuni kwenye maji kwa muda huo ama nguo zenyewe.

Kiasi cha nguo kinacholowekwa kiendane sambamba na ukubwa wa chombo xha kufulia.

Sidhani mtu na akili zake aloweke nhio m9ja moja
 
Kwa maana nikishaloweka nguo na maji ambayo nimeyatia sabuni hapo nikitaka kutumia sabuni ingine italazimu niloweke tena na kusubiria tena ama sivyo ?
 
Usiwe mbishi una tatizo unashauriwa unaleta ujuwaji. Jaribu ushauri unaopewa uone.

Nguo utengwa kabla ya kufuliwa. Za rangi, nyeupe etc. Nguo kwa pamoja hulowekwa kimakundi na kifuliwa. Rejea somo la sayansi kimu shule ya msingi.
 
Nadhani hukunielewa hapo.

Logic hapo ni sabuni ikae kwenye maji sio chini ya dk 30 ama 1hour.

Unaweza kuloweka sabuni kwenye maji kwa muda huo ama nguo zenyewe.

Kiasi cha nguo kinacholowekwa kiendane sambamba na ukubwa wa chombo xha kufulia.

Sidhani mtu na akili zake aloweke nhio m9ja moja
Mathabane umenikuna kwa jibu lako lililokaa kisayansi. Kumbe lile joto ambalo hutoka wakati sabuni ya unga inapogusana na maji ndio uchubua mikono.
 
Kwa maana nikishaloweka nguo na maji ambayo nimeyatia sabuni hapo nikitaka kutumia sabuni ingine italazimu niloweke tena na kusubiria tena ama sivyo ?
Loweka sabuni inayotosha kwenye chombo e. g jagi kwa dak. 30-saa1 reference Mathabane. Wakati wa kufua mimina kiasi kwenye maji nakufua nguo zaps kama una tatizo kama la mleta mada.
 
Kama ni hivyo sabuni iwe nyingi sana kiasi kwamba maji yenye sabuni iliyolowekwa uyatumie hayo hayo mpaka una maliza kufua.

Ukisema utumie sabuni ingine kati kati ya kufua ndo hapo itabidi usubirie lisaa uanze kufua.hapo mori inakata sasa.
Tafuta maana ya POPOMA mkuu. Mtafafute Gente akufahamishe
 
Tusidharauliane basi Mkuu

Ok tuchukulie nimeloweka tayari nguo 10 kwa pamoja kwenye beseni.

Sasa maji hayo ya kwenye beseni ndo nitafulia nguo zote mpaka zitaisha sitotumia maji ya sabuni Mengine mkuu?
Duh huyu wa wapi kwani? mbona hata jinsi ya kufua hajui
 
Back
Top Bottom