Hapana sio dhambi,lakini niliona dhambi ya kukubali kuwa mimi ni mtu wa daa itanipata.Kwani kukaa Dar ni dhambi paka kujitetea kote huko??
Ok, hivi Comfort zinauzwaje huko bei zake?Zanziba
Tatizo lako kumbe hujui kutumia sabuni ya unga! Ukishapima kipimo na kuloweka basi inatosha. Huongezi tena sabuni. Kama nguo ni chafu sana fua zote halafufu loweka tena nusu saa usugue tena..Tusidharauliane basi Mkuu
Ok tuchukulie nimeloweka tayari nguo 10 kwa pamoja kwenye beseni.
Sasa maji hayo ya kwenye beseni ndo nitafulia nguo zote mpaka zitaisha sitotumia maji ya sabuni Mengine mkuu?
Omo multactive ,sunlightMkuu OG nazitambua vipi maana mara nyingi huwa naenda dukani tu nataja jina napewa sabuni japo ni zile za paketi sio za kupima.
Kama hutojali nisaidie sabuni ambazo ni nzuri na salama kwa matumizi ambayo mwishoni hayatoleta athari kama hizi.
Kwani unampendaNamsubiri PM naona haji au alikuwa ananitania?[emoji3][emoji3][emoji3]
Tumia sabuni ya OMOMkuu OG nazitambua vipi maana mara nyingi huwa naenda dukani tu nataja jina napewa sabuni japo ni zile za paketi sio za kupima.
Kama hutojali nisaidie sabuni ambazo ni nzuri na salama kwa matumizi ambayo mwishoni hayatoleta athari kama hizi.
Acha marijuana!!Hapo unavua gamba kama nyoka, una DNA za nyoka.
Ahaha nadhani umeelewa vizuri.
Mwanaume lazima hata ukifanya kszi ngumu kiasi gani basi mkono wako ubaki vile vile.maana yake mkono unahimili mikiki ipasavyo.
Lakini mkono laini sasa kazi mbili tu ushakuwa mgumu tayari kwa maana mkono unashindwa kuhimili mikiki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeiacha ila yenyewe haitaki kuniacha.Acha marijuana!!
Wewe unatumia sabuni za MO.Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho.lakini haya malaini laini.
Naepukaje hali hii maana inakeraga sana mda ungine?
Picha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1112307View attachment 1112309View attachment 1112310
Inaonekana hutumii kanuni za ufuaji. Soma kwenye paketi ya sabuni eg omo wameandika.Oh hatujaelewana mkuu
Mimi mpaka miguu mkuu
Hv mpaka Leo hujaoa tu?Wakuu kila nikifua mara nyingi hutokea haya magamba mfano wa yale ambayo yanaota baada ya kubangua korosho.lakini haya malaini laini.
Naepukaje hali hii maana inakeraga sana mda ungine?
Picha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1112307View attachment 1112309View attachment 1112310
Me sijaongelea ulaini,ila umejielezea sana ...sometimes hawa watoto sio wakuwajibu wanapoongea vitu vya kipuuzi..Hapana sio dhambi,lakini niliona dhambi ya kukubali kuwa mimi ni mtu wa daa itanipata.
Hapo mimekanusha kwamba mimi sio wa dar,na wala sijathibitisha kwamba watu wa dar ni walaini.
Maji ulio loekea nguo ndo hayo hayo unafulia na sabuni ulio loekea nguo ndo hio hio unafulia afu....!Tusidharauliane basi Mkuu
Ok tuchukulie nimeloweka tayari nguo 10 kwa pamoja kwenye beseni.
Sasa maji hayo ya kwenye beseni ndo nitafulia nguo zote mpaka zitaisha sitotumia maji ya sabuni Mengine mkuu?