safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,187
- Thread starter
- #21
Ahaha nadhani umeelewa vizuri.
Mwanaume lazima hata ukifanya kszi ngumu kiasi gani basi mkono wako ubaki vile vile.maana yake mkono unahimili mikiki ipasavyo.
Lakini mkono laini sasa kazi mbili tu ushakuwa mgumu tayari kwa maana mkono unashindwa kuhimili mikiki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekuelewa sasa