Naenda Tanga Kuoa

Tanga hmmmm!!!! labda jaribu Njombe i.e Njombe mjini, Wanging'ombe, makete, Ludewa, Makambako n.k!! teh teh teh
 
Mbona hujazungumzia chura jamaa, btw shairi zurisana hongera
 
Joverest kadisco UDSM.
Msifanye mchezo na JF. Alikuwa anaacha kukomaa na chuo yupo na iphon yake anavizia thread mpya.
Siku nzima 24 hrs mnategemea nini?
Mkuu acha uongo, Joverest ndiye Dr Shika sasa hivi yuko busy anapiga deals mara tangazo, mara collabo na ney wa mitego mara video na madee, mara interview mara special appearance fiesta kwa hiyo hana muda wa kuwa jf
 
Tatizo la Watu wa Tanga walio wengi wametawaliwa na uchawi na ushirikina! Na ndo maana pamoja Kwamba iko karibu na Dar lakini maendeleo hakuna! Natamani ndugu zangu utokee uamsho utakao pelekea kuona uchawi na ushirikina hauna faida zaidi ya hasara!
Kila mtu na mawazo yake huwezi pingwa
 
Hivi Tanga huwa wanandoa hawaachani au kutengana? Maana si kwa sifa hizi kwamba mapenzi yamezaliwa huko
 
[emoji121]

KAMA UNAAMINI KUWA MABILIONI YA #DOCTOR_SHIKA HAYAWEZI KULETWA BONGO-
DUFUA "LIKE" HAPA
ILI TWENDE SAWA!!!

[emoji124][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469][emoji469]
 
Tatizo la Watu wa Tanga walio wengi wametawaliwa na uchawi na ushirikina! Na ndo maana pamoja Kwamba iko karibu na Dar lakini maendeleo hakuna! Natamani ndugu zangu utokee uamsho utakao pelekea kuona uchawi na ushirikina hauna faida zaidi ya hasara!
Pole mkuu, ila na wewe upunguze ushirikina ili upate maendeleo
 
Ambiele Kiviele ,
Mkuu, karibu sana Tanga, uoe hutakaa ujute.

Binafsi, Poise, sijawahi kujuta, hata nusu sekunde kwa kuoa mke kutoka Tanga.

Nashukuru sana Tanga, kuwa Tanzania!!

Cc: emmyta na wanawake wengine wa Tanga wote heko kwenu kwa kunipeni mke mwema mliyemfunda vyema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…