Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Mwanangu nakupa tizi la kijeshi na msosi Wa maana.

Amka asubuhi kimbia 60-80 KM.. Ukiweza hata 120- 145 KM.

Piga sit ups, push ups na kuruka kamba.

Kunywa maji Lita 3-6 kwa siku, ila sio kwa Mara moja.

Kula mihogo, mibichi na ya kupikwa.. Epuka mafuta.

Mboga za majani za kutosha.. Usiweke mafuta, labda karanga.

Uyoga Wa porini mtamu

Matunda, achana na juice za Azam

Lala mapema, amka mapema

Acha stress

Omba Mungu pia.

Kila la kheri komando.
 
Mwanamke anaweza kupiga mbili kwa mpigo na kukusihi ametosheka kabla hata hujavua boxer, yategemea mbinu za mchezo
Ahahahahahahahahahaha daah, Mkuu ya kweli haya!?
Aahahahahahahahahahaha!!!
 
kuandika maneno mengi haimaanishi utaeleweka
Hata hizi ni pumba
AHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAH...WE MZEE UMENIFURAHISHA SANA....HAIJALISHI UNAJITETEA VIP...UTETEZI MREEEEEEEFUUUUU KAMA MKOJO WA ASUBUHI ILA BADO NAO NI PUMBA TUUU...AHAHAHAHAHHAA. JF FOR LIFE.

JIBU KWA MWENYE MADA YAKE...KAMA UMEAMBIWA TIBA NI KUPUNGUZA STRESS BASI KARIBU SANA JF...STRESS HAPA NI MARUFUKU...KEMEA STRESS KWA JINA LA JF....STRESSSS TOKAAAAAA, KWA JINA LA JF LEO UTAPIGA BAO 3 NA NUSU...SEMA EMEEEEEEENIIIIII. JFFFFFFFFFFFFFFF.....
 
Dah, hii kazi yangu siku hizi. Hata mimi nilikuwa na tatizo kama lako. Kama hutanii basi njoo inbox.
AHAHAHAHAH...DR. MWAKA WEEE....KWAHIYO AJE PM UMUUZIE DAWA AU UMPE USHAURI AMBAO HAPA YUPO KIGWANGWALA AKIKUSIKIA ATAKUFUNGIA...AHAHAHAHAHA.
 
Kuna Dawa Ya Kikongo Mkuu, Hiyo Kiboko Utarudi JUKWAANI Utakavyo Hadi Mwenza Wako Ataomba Poooo!!! ILA Mzee Hbr Ya Kukojoa Ww SAHAU, Kwani Unaweza Kukojoa Kimoko Tu Cha Kwanzaa Basi!!! BAADA Ya Hapo Mchakamchaka Ni Kimya Kimya!!!
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!

Kwa malikia Elizabeth amezeeeka sana jaribu vijana
 
Unataka kuua ini la mwenzako ili iweje? Siku hizi vijana wadogo unawaona wanakuja Pharmacy, wanataka Viagra?! Viagra ni kwa wale wenye Erectile dysfunction ... Ni dawa, pia inatumika kutibu Pulmonary Hypertension etc. Sasa mtu anatumia tu bila ushauri wa daktari kisa eti anapiga bao moja! Sasa, kama mtu anatatizo la Hypotension/Low blood pressure na bila kujua ukatumia hii dawa, utakwenda na maji; Ndo wale unasikia kafa usiku gesti au popote akiwa na mwanamke!!!

Acheni kutumia haya madawa bila ushauri wa kitaalamu, mnajiua bure. Kama issue ni kuwahi kufika kileleni ama kutorudia tendo, hilo ni tatizo tu la kisaikolojia. Usikimbilie kutumia madawa ... Inashauriwa ufanye mazoezi, kula chakula bora na kuondokana na stressful environment!
Well said mkuu, sasa hii hypertension ndani ya mapafu ndio ugonjwa gani tena mkuu - tufafanulie kidogo.
 
Mkuu asikuambie mtu, kuna madem wengine wanapapuchi sugu hata upige bao 6 atataka muendelee tu.
Dem keshazoea kugongwa na kila mtu tena kila siku unadhani utamlidhisha?
 
Jibu ni kwamba misuli yako ni dhaifu na pia psychological problems kwamba umeshajiwekea kwenye akili yako huwezi kwenda zaidi.

Cha muhimu kwanza jiamini, kila vyakula vyenye nishati ya joto kama karanga, fanya mazoezi vya mwili na kuna mazoezi yanaitwa jergling unayafanyia machine inakuwa strong
 
hahaha yaani wewe ndo unaliza kabisa,umetumia vizuri lugha ya picha.


Tufanyeje na Tz nayo naambiwa itakuwa kama Eritrea mme moja wanawake wawili kwa lazima. Nguvu zenyewe za ku search ka network . Mtuombee hata sisi hatupendi
 
Back
Top Bottom