Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Acha kumdanganya mwenzio "women need good sex" ukiona mwanamke anakupenda na hicho kinusu bao ujue kuna ambae anasimamia kucha hapo kwako anakuja kupumzika tu


Mama Eva utaliza watu humu , humu mengi ni magoli ya penalty tena moja moja bora point tatu
 
Don't generalize say "I need good sex"
Mpe ukweli Mkuu, mimi sijatembea na wanawake wengi saana ila kwa niliowahi date nao nimegundua kwamba wengine wakikupenda wamekupenda kweli.
Mbona huwa inatokea mwanamke au mwanamme anampenda sana mtu flani lakini hawajawahi kufanya sex!? Hiki kitu kipo.
Tatizo watu wengine wanajua mahusiano ni sex tuu!!
 
Nifa Siku gani nimekutukana tangia niiweke akaunt yangu humu JF au mabifu yako hadi unaleta na majukwaa mengine.Ivo unavofikiria hili sio jukwaa lake tukikutana uko sana tu.sawa?
NB:My mama taught me well....Ulimwengu hauwezi kunifunza kwa sasa.
Mkuu kama unashinda istagram kwa kina wema basi sio mbaya...
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Kama unafeli kwenda zaid ya bao moja basi atleast hilo bao moja uwe unakaa mda mrefu....bao linaanzia kwenye mind na likiwa linakuja utaanza kulisense kwenye mind kabla halijawa physical....jifunze kulicontrol kwenye mind, ukihisi linaanza kuja unalibrake kwa kuwazia kitu kingine kabisa ( kama una mkopo wa benki unaokusumbua hapo ndo sehemu sahihi ya kuwazia makato).....mkuu ukilifanyia hili kaz naomba ulete mrejesho
 
Tafuta dawa ya mitishamba mkuu...Halaf pendelea kula nafaka zisizokobolewa..vyakula vya asili, achana na junk foods likr vyepe,soda,kuku wa kisasa n.k....Piga mazoez regularly itakua mpango mzima
 
dah pole jamaa, ila tatizo lako una matusi sana, unatukana hujui hata nani atakusaidia kesho, dada Nifah hebu mpumzishe ndugu yetu, cha kufanya nenda hospitali waambie tatizo lako usione aibu, hapo tatizo ni hormone tu haziko sawa, aidha ni member wa chaputa kwa sana au huli vizuri, utapona kabisa hilo sio tatizo, ishu ingekuwa haisimami kabisa
 
Tafuta dawa ya mitishamba mkuu...Halaf pendelea kula nafaka zisizokobolewa..vyakula vya asili, achana na junk foods likr vyepe,soda,kuku wa kisasa n.k....Piga mazoez regularly itakua mpango mzima
Unamaanisha mkuyati uleunachangnya na supu..unamafutia matatizo maana ile unakunjwa ukiwa nagame ukikosa dushe linasimama mpaka unajikunja mwenyewe maana hakuna namna
 
Acha kumdanganya mwenzio "women need good sex" ukiona mwanamke anakupenda na hicho kinusu bao ujue kuna ambae anasimamia kucha hapo kwako anakuja kupumzika tu
Kwa hivo machine lazima ichapwe hasa?
 
Ninaweza kukusaidia nicheki inbox nikupe namba yangu
 
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.


Aiseee mabao yahahusiani na Mapenzi?

Kama kuna mwanamke humu anapigwa nusu bao na anaridhika atuthibitishie ...
 
Mkuu, ukishaliona hilo tatizo cha kupaswa kufanya tumia mda mwingi kumwandaa yeye ilihali kapiga hata bao moja kabla ya kumwingilia (kwa kawaida mwandae mpenzi wako kwa zaidi ya dakika 30 hadi 45) then ukishaona kalegea piga hilo bao lako moja kwisha maneno.

Hilo tatizo lako litapungua kama utapunguza msongo wa mawazo (stress), fanya mazoezi ya mwili wako na hakikisha unakula chakula bora.
Over!
 
Eh kukosa papuchi ndani ya ushirka ni zaidi ya balaa pia Wanaume hawapendi kauli Kali kama hiyo uliotanguliza hata kama amefail wanapenda kubembelezwa na kutiwa moyo.
Ha ha ha kutiwa moyo kwa kadanganywa jamani? Yani upige kimoja afu uambiwe "baby you are de fire" 😀
 
Back
Top Bottom