Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Nadhani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? Na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
 
Kwani malkia wako anataka ngapi?
Unasema unataka uende 3 au 10, kwani hiyo ni dose unayoandikiwa na daktari?

Tatizo lako ni lipi, wewe au mwenzi wako kuridhika au idadi?
Tatizo bao liongezeke coz naenda 1.How do I do?
 
Duuuh kma kuku yani moja chaliii....kunywa supu ya pweza,mkuyati,juice ya mwarobaini,konyagi,viagra zote ni dawa ukifel tena itabidi uwe unakula kwa macho

Unataka kuua ini la mwenzako ili iweje? Siku hizi vijana wadogo unawaona wanatumia Viagra?! Viagra ni kwa wale wenye Erectile dysfunction ... Ni dawa, pia inatumika kutibu Pulmonary Hypertension etc. Sasa mtu anatumia tu bila ushauri wa daktari kisa eti anapiga bao moja! Sasa, kama mtu anatatizo la Hypotension/Low blood pressure na bila kujua ukatumia hii dawa, utakwenda na maji; Ndo wale unasikia kafa usiku gesti au popote akiwa na mwanamke!!!

Acheni kutumia haya madawa bila ushauri wa kitaalamu, mnajiua bure. Kama issue ni kuwahi kufika kileleni ama kutorudia tendo, hilo ni tatizo tu la kisaikolojia. Usikimbilie kutumia madawa ... Inashauriwa ufanye mazoezi, kula chakula bora na kuondokana na stressful environment!
 
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.
 
Unataka kuua ini la mwenzako ili iweje? Siku hizi vijana wadogo unawaona wanakuja Pharmacy, wanataka Viagra?! Viagra ni kwa wale wenye Erectile dysfunction ... Ni dawa, pia inatumika kutibu Pulmonary Hypertension etc. Sasa mtu anatumia tu bila ushauri wa daktari kisa eti anapiga bao moja! Sasa, kama mtu anatatizo la Hypotension/Low blood pressure na bila kujua ukatumia hii dawa, utakwenda na maji; Ndo wale unasikia kafa usiku gesti au popote akiwa na mwanamke!!!

Acheni kutumia haya madawa bila ushauri wa kitaalamu, mnajiua bure. Kama issue ni kuwahi kufika kileleni ama kutorudia tendo, hilo ni tatizo tu la kisaikolojia. Usikimbilie kutumia madawa ... Inashauriwa ufanye mazoezi, kula chakula bora na kuondokana na stressful environment!

hahaaa hilo tunajua vijana wengi wanatumia vidonge n konyagi.....muwape ushauri wanapokuja pharmacy waache kutumia viagra
 
Kulidhika kwa malkia sio lazima upige bao 3 au kumi hizo ni fikra mbovu huko unatafuta kuchubuana tu na hakuna starehe yoyote cha msingi ongeza mautundu tu kwa kitanda zijue mbinu za kumfikisha mwenza wako usichokifaham mwanamke unaweza ukamfanya mara moja tu yani kwa lile bao moja tu na akalizika tena sana na unaweza ukamfanya zaidi ya mara tatu usimridhishe sana sana ukamuumiza tu na kumsababishia michubuko.....litumie kiufundi bao la kwanza jua namna ya kumuandaa mwenza wako zijue sehemu zake za mwili ambazo ukimshika anapoteza network na kuhisi yupo peponi hakikisha unazing'an'gania hizo sehemu mpaka mwenza wako akojoe yeye mwenyewe pasipo kuingiza kirungu chako mfanyie hivyo mpaka utakapoona amelegea viungo vyote vya mwili na hajiwezi tena baada ya hapo unaweza ukapanda kwa kifua kuendeleza mechi jitahidi kubadili badili style usiwe mvivu itakusaidia wewe kuwa strong zaidi na kutokumaliza haraka tendo kwa mara ya kwanza
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!

Je, ulizoea kale kangumi chetu? Ngumi bwana, wewe sikia tu kwa wanaoendekeza, ukilemaa basi imekula kwako maana papuchi utaiona kama vile jipu lililotumbuliwa na Magufuli.
 
Bora upungukiwe hela kuliko hizi nguvu kwa kweli

Duh hebu fanya mazoezi ukate mafuta nwilini hii ni dawa kwa kiasi kikubwa
Sio kwa pesa aiseee pesa ndio kila kitu
 
-Mkuu, hakikisha unakula vizuri na unapokuwapo ktk game jiamini, usiwe na mawazo yasiyo na maana.
-Sio kila ukiwa nae basi utake sex, hii itaweza kumchosha hata yeye. Kuna wengine huwa wanafurahia sex wakiwa na hamu nayo tuu.
-Mwisho kabisa nikushauri kwamba baada ya bao la kwanza tulia ka dakika 15-20 jaribu kufanya nae romance na kumshikashika utaona unapata hamu ya kurudia tendo.
Kubwa zaidi ni kula vizuri mkuu na kujiamini, usiingie na stress uwanjani!
 
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.
Acha kumdanganya mwenzio "women need good sex" ukiona mwanamke anakupenda na hicho kinusu bao ujue kuna ambae anasimamia kucha hapo kwako anakuja kupumzika tu
 
Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!

Ushindi ni ushindi hata wa bao moja labda kama unatafuta chenga twawala
 
Back
Top Bottom