KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
TYutamkabidhi kigoli mmoja alafu huyo kigoli atatupa matokeo....baada ya kupata matokeo ndio tunamkabidhi leseni yake rasmi...Hahahahaaaa itajiridhishaje sasa?
TYutamkabidhi kigoli mmoja alafu huyo kigoli atatupa matokeo....baada ya kupata matokeo ndio tunamkabidhi leseni yake rasmi...Hahahahaaaa itajiridhishaje sasa?
Pole sana mkuu.Mabao hayahusiani kabisa na mapenzi ya kweli watu ndo tumekariri vibaya.Mwanamke akiamua kukupenda hata kama una nusu bao haijalishi.Cha msingi mjali kwa vitendo labda kama unatoka na wasichana tofaut tofaut.Ila kama ni mmoja mpende na umjali wala hiyo sio issue ya kukupa stress.Jiamini tuu labda baadae yataongezeka ila sio suala la kukupa stress.
Mpe ukweli Mkuu, mimi sijatembea na wanawake wengi saana ila kwa niliowahi date nao nimegundua kwamba wengine wakikupenda wamekupenda kweli.
Mbona huwa inatokea mwanamke au mwanamme anampenda sana mtu flani lakini hawajawahi kufanya sex!? Hiki kitu kipo.
Tatizo watu wengine wanajua mahusiano ni sex tuu!!
una stress sana, una hofu, una mawazo, hauli ushibe?????Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Mkuu wewe unapigwa ngapi?Sex ni starehe 'burudani' sasa kama mmeanza sharti mmburudishane,
Na hao uliokua nao kama walikupenda sana mbona mliachana.
Kaza msuli mwanaume, onesha urijali wako katika 6 kwa 6.
Mkuu wewe unapigwa ngapi?
Rafiki yangu mpendwa, usijejiona kuwa una matatizo, kwanza kabisa kama huyo malkia wako hakulaumu kwa hali hiyo na analidhika wewe kuwa na amani.. Kuna mambo mawili ya kuzingatia pale unaposikia eti fulan anapiga raundi nyingi.Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Kwani malkia wako anataka ngapi?
Unasema unataka uende 3 au 10, kwani hiyo ni dose unayoandikiwa na daktari?
Tatizo lako ni lipi, wewe au mwenzi wako kuridhika au idadi?
Acha kumdanganya mwenzio "women need good sex" ukiona mwanamke anakupenda na hicho kinusu bao ujue kuna ambae anasimamia kucha hapo kwako anakuja kupumzika tu
NOPE HIYO MAMBO NASIKIA BULLS' BALLS NDIO INASAIDIA, PIA INASAIDIA KUONGEZA MASCULINITY KIUJUMLAMkuu kula maini ya beberu kwa wingi..Au ukipata maziwa ya punda nayo yanasaidia
More important ni kwamba pale unapomfikisha huyo malikia wako naye akalidhika kwa round hiyo moja, bado uko upande sahihi. Pia inawezekana sana malkia wako kufika kileleni Mara nyingi zaid wakati huo mwanamme akiwa amefika Mara moja.
Asante!
NOPE HIYO MAMBO NASIKIA BULLS' BALLS NDIO INASAIDIA, PIA INASAIDIA KUONGEZA MASCULINITY KIUJUMLA
Inaanza na kwichi Kwichi Kwichi vibao pwaa pwaa fck me baby..... Inaisha na Oooh yeah am cuminggood sex inaanzaje na inaishaje?
Acha kumdanganya mwenzio,
Kwenye 6 kwa 6 ndio mahala pa kuonesha urijali wako,
kama kusimamisha tu masaa mawili uchezewe weeeh baadae kuchomeka dkk 1 umemwaga na huwezi kurudi tena,
Yani hata uhonge mbingu, mwanamke atakukimbia tu.